PreGE2025 Video: Hivi ndivyo Helikopta ya CHAUMMA ilivyotua Serengeti

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Wakuu msikate tamaa mpaka mwisho.
mzee Hashim Rungwe Spunda kutoka kufanya kampeni na baiskeli mtaa kwa mtaa mpaka kufanya kampeni na Chopa!
 
Wanabezwa kwa uchache wao, Lakini wapo!

Hata Mpira unaweza kuwa unaongoza kwa goli kadhaa Hadi dakika 80, ukatokea upepo kwa dk 10 ukabaki unashangaa.

Usimdharau usiyemjua.
Kwa hiyo hapa unamaanisha, 'mdharau unayemjua'!

Kwa hiyo raia wanaoijua Chauma wana haki ya kuidharau.
 
Nawatazama hao wanachadema wa zamani, nyuso zao zinaona aibu na masikitiko kwa pamoja.​
 
Hivi ukiwa mwanasiasa lazima uwe huna aibu?
Yaani hakuna watu halafu unawashukuru kwa umati mkubwa uliojitokeza!
Mbuyu ulianza km mchicha, subiri bwanamdogo ht hiyo chadema ilikuwa chama dogo sn iliyokuwa inadharaulika mwaka wa 1995 na 2000 ht haikumsimamisha mgombea urais
 
Na Naomi lao
 
Hivi ukiwa mwanasiasa lazima uwe huna aibu?
Yaani hakuna watu halafu unawashukuru kwa umati mkubwa uliojitokeza!
Roma haikujengwa kwa siku moja. Chululu si ndondondo! One day yes
 
Mwaka huu tutawakumbusha kuwa watanzania sio wajinga kama zamani.

Siasa za utapeli zilifutwa January 21 mwaka huu.
 
Rugwe haamini kinachotokea.
Kuna la kujifunza mafaniko yanaweza kupatikana hata uzeeeni au dakika za mwisho kabisa wakati wengine wamekata tamaa.
Rungwe mfanyabiashara mahiri sana

Ova
 
yaan jamaa wako vizur km unatua mbali na mji na bado una watu hiv, wale wengine wananyqga road kabisa
 
Rugwe haamini kinachotokea.
Kuna la kujifunza mafaniko yanaweza kupatikana hata uzeeeni au dakika za mwisho kabisa wakati wengine wamekata tamaa.
Ni suala la kuthubutu na kuwa na muendelezo na unachokiamini
 
😹😹😹 Dah!! Njaa hizi zinafanya uonekane kituko..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…