Administer
JF-Expert Member
- Feb 9, 2020
- 2,639
- 2,384
Mzee Rungwe ndani ya chopper.Chaumma inaimarikaWakuu,
Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) kimeanza kufanya ziara zake kwa kutumia ndege ya Helicopter (chopa). Na hivi leo chopa hiyo imetoka kiwanja cha ndege Mwanza kisha kushuka uwanja wa Urafiki kuwabeba viongozi wa chama kisha kupaa kwenda na kutua jimboni la Serengeti ambapo mwenyeji wa jimbo hilo ni Catherine Ruge.
Chopa hiyo ilikuwa na Mwenyekiti wa chama Hashim Rungwe, Kaimu Makamu Mwenyekiti Bara wa chama hicho Devotha Minja, Katibu Mkuu wa chama hicho Salum Mwalimu na Mwandishi wa Jambo TV Ramadhan Ally
🤣🤣🤣🤣Rugwe haamini kinachotokea.
Kuna la kujifunza mafaniko yanaweza kupatikana hata uzeeeni au dakika za mwisho kabisa wakati wengine wamekata tamaa.
Halafu izimikie huko mawinguni itakuwa bomba sana.Ninaomba mungu saa100 apande chopa,kipindi cha uchaguzi
Kuna siku PSG ilikuwa imefungwa goli 2 na timu nimeisahau,Hadi dakika ya 65,nikakata tamaa na ku cash out japo niambulie hata ya supu,,kipindi Cha michezo nasikia PSG wameshinda 4-2😂,it is not over untill it is overWanabezwa kwa uchache wao, Lakini wapo!
Hata Mpira unaweza kuwa unaongoza kwa goli kadhaa Hadi dakika 80, ukatokea upepo kwa dk 10 ukabaki unashangaa.
Usimdharau usiyemjua.
Mzee kwani nini maana ya mwehu?ukijua maana yake Wala husumbuki na yanayosemwa na chaumaccm.Hivi ukiwa mwanasiasa lazima uwe huna aibu?
Yaani hakuna watu halafu unawashukuru kwa umati mkubwa uliojitokeza!
sana tu usikate tamaa kuna siku nitatoa historia yangu pengine utashangaa zaidiRugwe haamini kinachotokea.
Kuna la kujifunza mafaniko yanaweza kupatikana hata uzeeeni au dakika za mwisho kabisa wakati wengine wamekata tamaa.
Mbowe na ccm wanadharau watanzania sana. Mbowe anafikiri watu walikuwa chadema kwasababu alikuwa anatembea na helicopter kwenye mikotano. Sasa amewaelekeza chauma kutumia helicopter ili watu wahamie chauma kwasababu ya helicopter.Wakuu,
Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) kimeanza kufanya ziara zake kwa kutumia ndege ya Helicopter (chopa). Na hivi leo chopa hiyo imetoka kiwanja cha ndege Mwanza kisha kushuka uwanja wa Urafiki kuwabeba viongozi wa chama kisha kupaa kwenda na kutua jimboni la Serengeti ambapo mwenyeji wa jimbo hilo ni Catherine Ruge.
Chopa hiyo ilikuwa na Mwenyekiti wa chama Hashim Rungwe, Kaimu Makamu Mwenyekiti Bara wa chama hicho Devotha Minja, Katibu Mkuu wa chama hicho Salum Mwalimu na Mwandishi wa Jambo TV Ramadhan Ally
Sasa ilikuwaje pamoja na kusafiri kwa chopa lakinini akaishiwa kulazwa KCMC kwa uchovu! Humo ndani ya chopa walikuwa wakikanyaga pedeli izungurushe mapangaboi ili iruke?.Wakuu,
Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) kimeanza kufanya ziara zake kwa kutumia ndege ya Helicopter (chopa). Na hivi leo chopa hiyo imetoka kiwanja cha ndege Mwanza kisha kushuka uwanja wa Urafiki kuwabeba viongozi wa chama kisha kupaa kwenda na kutua jimboni la Serengeti ambapo mwenyeji wa jimbo hilo ni Catherine Ruge.
Chopa hiyo ilikuwa na Mwenyekiti wa chama Hashim Rungwe, Kaimu Makamu Mwenyekiti Bara wa chama hicho Devotha Minja, Katibu Mkuu wa chama hicho Salum Mwalimu na Mwandishi wa Jambo TV Ramadhan Ally
Naisubiri Mkuu tujifunzesana tu usikate tamaa kuna siku nitatoa historia yangu pengine utashangaa zaidi
Zito Kabwe naye alianza na mbwembwe hizi hizi 2015, akasimamisha wagombea wa nafasi zote nchi nzima. Leo hii anapumilia mashine ya wapemba. Chauma wameamua kuondoka na swaga zote za cdm, lakini nyomi zimegoma.Mbuyu ulianza km mchicha, subiri bwanamdogo ht hiyo chadema ilikuwa chama dogo sn iliyokuwa inadharaulika mwaka wa 1995 na 2000 ht haikumsimamisha mgombea urais