Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,734
- 5,750
Hapa Tanzania mawakala wa vyama huwa wanalinda kura za vyama vyao,kuanzia kituoni mpaka ngazi mwisho. Wewe na Chadema yako mmeshashindwa sababu wananchi wameshajua nyie ni wapiga madili. Na ni matapeli wa kisiasa.Hakuna ujanja wa kutumia wakurugenzi , watu wasiojulikana wala polisi .
Mungu ibariki Malawi
View attachment 1488072
Hahaha nimecheka sanaSasahivi tunazidiwa democrasia hata na Burundi
Mnamnunua mbunge kwa gharama yoyote kiasi hata kumtisha kumuua sembuse wakala tu ambaye hata viazi vya kushindia nyumbani hana??Hapa Tanzania mawakala wa vyama huwa wanalinda kura za vyama vyao,kuanzia kituoni mpaka ngazi mwisho. Wewe na Chadema yako mmeshashindwa sababu wananchi wameshajua nyie ni wapiga madili. Na ni matapeli wa kisiasa.
Hilo halina ushahidi,kama mawakala wenu hamuwaamini kwa nini mnateua? Acheni utoto.Mnamnunua mbunge kwa gharama yoyote kiasi hata kumtisha kumuua sembuse wakala tu ambaye hata viazi vya kushindia nyumbani hana??
Vijana wa ufipa mmebaki kugalagala tu mtandaoni.Sasahivi tunazidiwa democrasia hata na Burundi
cha kufanya tutawafundisha octoba
Nilimlindia kura nasari karibu nivunjwe mbavu leo ameunga mkono juhudi mpuuzi yule. Sitokaa nirudie upuuzi wa kuwasikiliza upinzani.
Mnamnunua mbunge kwa gharama yoyote kiasi hata kumtisha kumuua sembuse wakala tu ambaye hata viazi vya kushindia nyumbani hana??
Mkuu Erythrocyte, nadhani kuna nyakati nyingine tukubali kwamba yanayowezekana katika nchi mbalimbali, hayawezi yakatokea kwingine kokote.Hakuna ujanja wa kutumia wakurugenzi , watu wasiojulikana wala polisi .
Mungu ibariki Malawi
View attachment 1488072
Kwa nini unauita "ujanja", na kumbe ni upumbavu mtupu!Hakuna ujanja wa kutumia wakurugenzi , watu wasiojulikana wala polisi .
Batili wakati mahakama ndiio iliamuaHiyo kauli ni batiri
Hii mambo Mara mkuu wa mkoa mwana jeshi Mara siku nyingine aamke kavaa gwanda na vyeo begani mara aamke kavaa kijani ni changa Moto Sana kwa usitawi wa demokrasia ya nchi yetu, leo Zerote afisa aliyehudumu kwa nafasi kubwa kabsa jeshi la polisi ni Mwenyekiti wa CCM Arusha,maana yake ni kwamba akikutana na police constable anapigiwa salute na kumpa maelekezo(order) ndo maana akili za ma RPC wengi zimevurugwa angalia Muroto na Shana wamekuwa kama vituko sijui familia zao huwa zinajisikiaje!!!!!!!! " Vijana wetu wakakamavu na wenye weledi mkubwa kwa ujasiri mkubwa walijibu mapigo na kuwazidi hao majambazi na kuwateketeza" in Shana's voiceππππ€π€π€π€ͺπ·Sisi si tumeambiwa marufuku kusogea kwenye sanduku la kura. Inatakiwa mita 200
Hii mambo Mara mkuu wa mkoa mwana jeshi Mara siku nyingine aamke kavaa gwanda na vyeo begani mara aamke kavaa kijani ni changa Moto Sana kwa usitawi wa demokrasia ya nchi yetu, leo Zerote afisa aliyehudumu kwa nafasi kubwa kabsa jeshi la polisi ni Mwenyekiti wa CCM Arusha,maana yake ni kwamba akitana na police constable anapigiwa salute na kumpa maelekezo(order) ndo maana akili za ma RPC wengi zimevurugwa angalia Muroto na Shana wamekuwa kama vituko sijui familia zao huwa zinajisikiaje!!!!!!!! " Vijana wetu wakakamavu na wenye weledi mkubwa kwa ujasiri mkubwa walijibu mapigo na kuwazidi hao majambazi na kuwateketeza" in Shana's voiceππππ€π€π€π€ͺπ·Sisi si tumeambiwa marufuku kusogea kwenye sanduku la kura. Inatakiwa mita 200
2020 nyinyi choka mbaya, polenicha kufanya tutawafundisha octoba
Utamfundisha nani na kwa mgombea yupi uliyenaye?cha kufanya tutawafundisha octoba
siasa zimeminywa hadi leo , kama choka mbaya si ziachieni !2020 nyinyi choka mbaya, poleni