Video: Hivi ndivyo kura za marudio ya uchaguzi wa Rais zilivyolindwa na wananchi nchini Malawi. Hakika kuna la kuifunza Tanzania

siasa zimeminywa hadi leo , kama choka mbaya si ziachieni !
Kinanifanya nitamani upendo wako wa upinzani, ni kutokata tamaa hata katika hali ya leo ambayo lazima uwe na roho ya paka kubaki Chadema. Ila subiri kipigo na safari hii kura yangu nimejiandikisha Mwanga.
 
Msalimie Mchome
 
Karne hii ya kuzurula na kura vichwani very local yaani ndio maana waliibiwa
 
Back
Top Bottom