Kinanifanya nitamani upendo wako wa upinzani, ni kutokata tamaa hata katika hali ya leo ambayo lazima uwe na roho ya paka kubaki Chadema. Ila subiri kipigo na safari hii kura yangu nimejiandikisha Mwanga.