Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakati waendelea kupiga domo hapa na propaganda zisizowasaidia raia wa Ukraine, maofisa wa serikali ya Ukraine waliopo Ukraine wao wenyewe wanakiri kuwa Russia anashambulia popote anapotaka nchi nzima, hakuna sehemu iliyo salama. Sasa hizo drone zimazuia nini kama waliopo Ukraine wanakiri hilo la Russia kushambulia kokote?Huyo Alfred ametoa comment kwa mwenzake, hajachambua, hivyo kwako wewe one sentence comments zimekua uchambuzi, mpo very desperate ila ndio hivyo, Mrusi amewaingiza kwenye aibu sana mliokua mnamtegemea, hata Waarabu wale wamiliki wa dini ya "amani" raundi hii wapo kimya maana nguvu na jeuri yao siku zote ilikua Urusi na ndiye huyo ameonyesha udhaifu mkubwa sana, mumebaki maustadhi wa Bongo ndo mnabwatuka na kutukana kwenye mitandao.
Alfred anaijua vema Ukraine, kama ambavyo mie ninavyoijua Tanzania. Ukiniletea video clip ya Sudan ukanambia ni Tanzania nitakushangaa, na kukwambia 'hiyo (mazingira hayo) siyo Tanzania, video clip hiyo ni UPUUZI'. Sentensi moja tu lakini nimeshamaliza kila kitu.
We upo zako hapo Uthiru wapiga sukuma wiki, wala Ukraine huijui, halafu wajitia kubishana na wanaoyajua mandhari ya Ukraine.
Wakati waendelea kupiga domo hapa na propaganda zisizowasaidia raia wa Ukraine, maofisa wa serikali ya Ukraine waliopo Ukraine wao wenyewe wanakiri kuwa Russia anashambulia popote anapotaka nchi nzima, hakuna sehemu iliyo salama. Sasa hizo drone zimazuia nini kama waliopo Ukraine wanakiri hilo la Russia kushambulia kokote?
Kisha wewe waleta stori za sijui drone zaharibu mamia ya vifaa vya Russia, itakuwa hujui hata maana ya mamia wewe.
Wakati waendelea kupiga domo hapa na propaganda zisizowasaidia raia wa Ukraine, maofisa wa serikali ya Ukraine waliopo Ukraine wao wenyewe wanakiri kuwa Russia anashambulia popote anapotaka nchi nzima, hakuna sehemu iliyo salama. Sasa hizo drone zimazuia nini kama waliopo Ukraine wanakiri hilo la Russia kushambulia kokote?Hehehe hadi umenquote mara mbili, acha panic sheikh wa Bongo...
Sio kazi ya drones kuzuia mashambulizi, Mrusi kwenye vita anafahamika huwa na hulka ya kuwatoa wanajeshi wake kafara na so rahisi ageuze hata mkiua wangapi, aliingia Berlin kwa gharama kubwa sana kwenye vita vikuu vya dunia, alipoteza mamilioni ya wapiganaji na bado waliendelea kusonga mbele.
Kwenye huu ugomvi Putin anaendelea kuwatoa kafara wanajeshi wake, hana namna maana akigeuza itamgharimu hata uhai wake, ni kuuana na kuchinjana kwa kwenda mbele, vifaru vyake vinaliwa shaba, wanajeshi wanauawa had ameomba asaidiwe na Wasyria, sijui kama waarabu wengine watajiunga maana dini ya amani ilimtegemea yeye.
Alfred anaijua vema Ukraine, kama ambavyo mie ninavyoijua Tanzania. Ukiniletea video clip ya Sudan ukanambia ni Tanzania nitakushangaa, na kukwambia 'hiyo (mazingira hayo) siyo Tanzania, video clip hiyo ni UPUUZI'. Sentensi moja tu lakini nimeshamaliza kila kitu.Huyo Alfred unayemshadadia ametupia comment moja kwamba hapo sio Ukraine, kwa mlivyo desperate ukaanza kumsifia eti huo ndio uchambuzi..... He he he, na bado mtaingia aibu sana, Putin kwenye hili kaingia cha kike mpaka anaomba usaidizi Syria.
Wanakalia Video zakijinga Uhalisia Watu Wanalia na KuumiaHivi ndivyo wajuvi wa mambo hayo walivyolichambua hilo li-video clip la propaganda linalodai hiyo drone imeharibu mamia ya vifaa vya Russia.
View attachment 2152684
Jamaa wameketi ofisini kazi yao kubonyeza bonyeza na kuondosha vifaru utadhani video game, Waafrika tumejiandaaje kwenye utaalam kama huu au bora liende tu.
Halafu tatizo hizi drone sio rahisi kuzigundua kwa radar, jamaa anachagua kifaru kipi amekichukia kwenye msafara wa Warusi anabonyeza na kukiondosha.
Haya mambo husababisha nihisi huruma kwa ajili ya bara letu Afrika, huku hakuna taifa hata moja lenya manowari/sub-marine, aina ya utaalam wa enzi za akina Hitler hatujaufikia, kazi yetu ni wajeda kupasua matofali siku za maonyesho tunashangilia na kujiona wababe.
Alfred anaijua vema Ukraine, kama ambavyo mie ninavyoijua Tanzania. Ukiniletea video clip ya Sudan ukanambia ni Tanzania nitakushangaa, na kukwambia 'hiyo (mazingira hayo) siyo Tanzania, video clip hiyo ni UPUUZI'. Sentensi moja tu lakini nimeshamaliza kila kitu.
We upo zako hapo Uthiru wapiga sukuma wiki, wala Ukraine huijui, halafu wajitia kubishana na wanaoyajua mandhari ya Ukraine
Wakati waendelea kupiga domo hapa na propaganda zisizowasaidia raia wa Ukraine, maofisa wa serikali ya Ukraine waliopo Ukraine wao wenyewe wanakiri kuwa Russia anashambulia popote anapotaka nchi nzima, hakuna sehemu iliyo salama. Sasa hizo drone zimazuia nini kama waliopo Ukraine wanakiri hilo la Russia kushambulia kokote?
Kisha wewe waleta stori za sijui drone zaharibu mamia ya vifaa vya Russia, itakuwa hujui hata maana ya mamia wewe.
View attachment 2152862
Mkuu nenda telegram upate habari moto zisizo chujwa.achana na huu utopolo wa propagannda za kimagharibi.mwenzako Zelensky anaomba poo .serikali ya Kiev inaanguka muda si mrefu.Jamaa wameketi ofisini kazi yao kubonyeza bonyeza na kuondosha vifaru utadhani video game, Waafrika tumejiandaaje kwenye utaalam kama huu au bora liende tu.
Halafu tatizo hizi drone sio rahisi kuzigundua kwa radar, jamaa anachagua kifaru kipi amekichukia kwenye msafara wa Warusi anabonyeza na kukiondosha.
Haya mambo husababisha nihisi huruma kwa ajili ya bara letu Afrika, huku hakuna taifa hata moja lenya manowari/sub-marine, aina ya utaalam wa enzi za akina Hitler hatujaufikia, kazi yetu ni wajeda kupasua matofali siku za maonyesho tunashangilia na kujiona wababe.
Well saidHuweziona tatizo kwa kuwa hushirikishi ubongo.
Unaambiwa kwanza footage sio Ukraine, pia hata kama ingekuwa Ukraine, ingehitajika drones takriban 50 kufanya mashambulizi hayo (kuharibu mamia ya vifaa vya Russia). Wakati drones hizo walizokuwanazo ni takriban 20. Na nyingine jana zimeharibiwa na Russia.
Sasa kama kweli zinawasaidia, mbona Ukraine yoote hakuna sehemu salama?! Popote pale Russia akitaka kufanya mashambulizi anashambulia. Na haya ni maelezo ya serikali ya Ukraine.
View attachment 2152691
Pole sana, naona huelewi kwamba huyo ni mtu tu ametoa maoni yake kama tu na wewe unavyochangia humu na anasema japo inawezekana lkn haiyumkiniki kwani wanasikia kwamba waukraine wameishiwa Drones.Hivi ndivyo wajuvi wa mambo hayo walivyolichambua hilo li-video clip la propaganda linalodai hiyo drone imeharibu mamia ya vifaa vya Russia.
View attachment 2152684
Yaani hizo takataka ziwe zinaruka na kutua wanavichekea tuPole sana, naona huelewi kwamba huyo ni mtu tu ametoa maoni yake kama tu na wewe unavyochangia humu na anasema japo inawezekana lkn haiyumkiniki kwani wanasikia kwamba waukraine wameishiwa Drones.
Hayo ni maoni yake tu japo yeye naye sio mdau ktk hivi vita kuweza kufahamu kiundani zaidi.
..... Yeah 👍 ni kweli kwa sababu Russia wameshakata tamaa kwani waliingizwa chaka na Putin kwa kuambiwa kazi ilikuwa ni ya siku mbili tu na sasa mwisho wake haujulikani na wapiganaji zaidi ya 12,000 wameshapoteza maisha wakiwemo majenerali watatu na vifaa kibao.Wakati waendelea kupiga domo hapa na propaganda zisizowasaidia raia wa Ukraine, maofisa wa serikali ya Ukraine waliopo Ukraine wao wenyewe wanakiri kuwa Russia anashambulia popote anapotaka nchi nzima, hakuna sehemu iliyo salama. Sasa hizo drone zimazuia nini kama waliopo Ukraine wanakiri hilo la Russia kushambulia kokote?
Kisha wewe waleta stori za sijui drone zaharibu mamia ya vifaa vya Russia, itakuwa hujui hata maana ya mamia wewe.
leta source..... Yeah 👍 ni kweli kwa sababu Russia wameshakata tamaa kwani waliingizwa chaka na Putin kwa kuambiwa kazi ilikuwa ni ya siku mbili tu na sasa mwisho wake haujulikani na wapiganaji zaidi ya 12,000 wameshapoteza maisha wakiwemo majenerali watatu na vifaa kibao.