Video: Hizi drones Bayraktar TB2 za Uturuki ni shida, Waafrika tutafika lini huku?

Wakati waendelea kupiga domo hapa na propaganda zisizowasaidia raia wa Ukraine, maofisa wa serikali ya Ukraine waliopo Ukraine wao wenyewe wanakiri kuwa Russia anashambulia popote anapotaka nchi nzima, hakuna sehemu iliyo salama. Sasa hizo drone zimazuia nini kama waliopo Ukraine wanakiri hilo la Russia kushambulia kokote?

Kisha wewe waleta stori za sijui drone zaharibu mamia ya vifaa vya Russia, itakuwa hujui hata maana ya mamia wewe.

Huyo Alfred unayemshadadia ametupia comment moja kwamba hapo sio Ukraine, kwa mlivyo desperate ukaanza kumsifia eti huo ndio uchambuzi..... He he he, na bado mtaingia aibu sana, Putin kwenye hili kaingia cha kike mpaka anaomba usaidizi Syria.
 
Hehehe hadi umenquote mara mbili, acha panic sheikh wa Bongo...

Sio kazi ya drones kuzuia mashambulizi, Mrusi kwenye vita anafahamika huwa na hulka ya kuwatoa wanajeshi wake kafara na so rahisi ageuze hata mkiua wangapi, aliingia Berlin kwa gharama kubwa sana kwenye vita vikuu vya dunia, alipoteza mamilioni ya wapiganaji na bado waliendelea kusonga mbele.
Kwenye huu ugomvi Putin anaendelea kuwatoa kafara wanajeshi wake, hana namna maana akigeuza itamgharimu hata uhai wake, ni kuuana na kuchinjana kwa kwenda mbele, vifaru vyake vinaliwa shaba, wanajeshi wanauawa had ameomba asaidiwe na Wasyria, sijui kama waarabu wengine watajiunga maana dini ya amani ilimtegemea yeye.
 
Wakati waendelea kupiga domo hapa na propaganda zisizowasaidia raia wa Ukraine, maofisa wa serikali ya Ukraine waliopo Ukraine wao wenyewe wanakiri kuwa Russia anashambulia popote anapotaka nchi nzima, hakuna sehemu iliyo salama. Sasa hizo drone zimazuia nini kama waliopo Ukraine wanakiri hilo la Russia kushambulia kokote?

Kisha wewe waleta stori za sijui drone zaharibu mamia ya vifaa vya Russia, itakuwa hujui hata maana ya mamia wewe.
 
Huyo Alfred unayemshadadia ametupia comment moja kwamba hapo sio Ukraine, kwa mlivyo desperate ukaanza kumsifia eti huo ndio uchambuzi..... He he he, na bado mtaingia aibu sana, Putin kwenye hili kaingia cha kike mpaka anaomba usaidizi Syria.
Alfred anaijua vema Ukraine, kama ambavyo mie ninavyoijua Tanzania. Ukiniletea video clip ya Sudan ukanambia ni Tanzania nitakushangaa, na kukwambia 'hiyo (mazingira hayo) siyo Tanzania, video clip hiyo ni UPUUZI'. Sentensi moja tu lakini nimeshamaliza kila kitu.

We upo zako hapo Uthiru wapiga sukuma wiki, wala Ukraine huijui, halafu wajitia kubishana na wanaoyajua mandhari ya Ukraine
 
Sentensi moja sio uchambuzi, acha uvivu fuatilia hizi issues.
 
Putin anajutia hadi balaa, sheikh, na tayari wanajeshi wake wameanza kuiba chakula, njaa inawatesa.....
Wazee wa makanzi wenzio wamepiga kimya wote.
 
Tutatumia maji ya upako sio kama yale ya Kinjekitile Ngwale
 
Mkuu nenda telegram upate habari moto zisizo chujwa.achana na huu utopolo wa propagannda za kimagharibi.mwenzako Zelensky anaomba poo .serikali ya Kiev inaanguka muda si mrefu.
Aliingizwa chaka na USA
 
Well said
 
Hivi ndivyo wajuvi wa mambo hayo walivyolichambua hilo li-video clip la propaganda linalodai hiyo drone imeharibu mamia ya vifaa vya Russia.

View attachment 2152684
Pole sana, naona huelewi kwamba huyo ni mtu tu ametoa maoni yake kama tu na wewe unavyochangia humu na anasema japo inawezekana lkn haiyumkiniki kwani wanasikia kwamba waukraine wameishiwa Drones.

Hayo ni maoni yake tu japo yeye naye sio mdau ktk hivi vita kuweza kufahamu kiundani zaidi.
 
Yaani hizo takataka ziwe zinaruka na kutua wanavichekea tu
 
..... Yeah 👍 ni kweli kwa sababu Russia wameshakata tamaa kwani waliingizwa chaka na Putin kwa kuambiwa kazi ilikuwa ni ya siku mbili tu na sasa mwisho wake haujulikani na wapiganaji zaidi ya 12,000 wameshapoteza maisha wakiwemo majenerali watatu na vifaa kibao.
 
Kinachofanya Ukraine ni surgical military operations ni kuharibu Kila kitu Cha maana na kupitia made ya decades and decades hii misaada ya vifaa na fedha ni mikopo ndio maada Russia anamtumia muda mrefu wanaizunguka miji then wanatulia
 
leta source
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…