Video: Hizi ndio akili za bodaboda

Video: Hizi ndio akili za bodaboda

Jamaa kamfumua ubongo huyo Boda alieingia chini ya uvungu wa Gari yake na Boda yake kufumua mbele ya Gari lake Ila cha kwanza ni kusema 'umeniharibia Gari yangu' kwa sauti ya kichaga hajali km Boda amekufa au bado yupo Hai maana damu zimeruka vibaya sana Lami imechafuka
Tunahitaji watu wenye IQ kubwa yako na Poor Brain sio huyu kijana wa hovyo Prakatatumba abaabaabaa
 
Jamaa kamfumua ubongo huyo Boda alieingia chini ya uvungu wa Gari yake na Boda yake kufumua mbele ya Gari lake Ila cha kwanza ni kusema 'umeniharibia Gari yangu' kwa sauti ya kichaga hajali km Boda amekufa au bado yupo Hai maana damu zimeruka vibaya sana Lami imechafuka
Mchukua video anasema

"Si nilikuambia chalii yangu" Wala sio mambo ya kuniharibia gari yangu, dereva hata hasikiki, acha ujuaji
 
Uyu ali kata moto kistaa sana ,una weza kuzalisha ni fundi gari kumbe ndo safari ili ishia apo
 
Attachments

  • GKzlovkX0AIBz66.jpeg
    GKzlovkX0AIBz66.jpeg
    125.7 KB · Views: 2
Sio nilikua mbia chali yangu amesema 'umeniharibia Gari yangu' sikiliza tena
Umefanya mpaka nichukue earpods, mchukua video anasema " si nilikuambia chalii yangu"

Kwa logic ya kawaida tu unadhani ungeweza skia sauti ya dereva wa gari, au alikua amevaa microphone iliyokua connected na simu inayorecord, Hio sauti ya aliyekua anarecord au aliye karibu yake, period
 
Hivi mtu anayerekodi inakuaje an....
Sijaelewa anakua kajua next nn
Ni incident tu Mimi kuna ajali nyingi nimezishuhudia kipindi hiki cha Mvua Ila asilimia kubwa Boda Boda wanakua wamelewa mmoja alikua pekeyake akaleta madoido kwenye tuta apite kwa kasi aiachie pikipiki alafu aishike kwa nyuma aseleleke na Miguu kilichofuata kidogo ang'oe Meno na kucha maana sio kwa kugalagazwa kule na pikipiki

Mwingine kwenye tuta pia kaivamia Gari km hii clip ilivyo sema Gari lilikua linakona linatoka kulia linaingia kushoto na dereva aliwasha indicator Ila jamaa akaja kula mzinga kwenye ubavu wa Gari nusura apite kwenye kioo akajikuta ametupwa upande wa pili sababu dereva hakusimama angesimama jamaa angepita kwenye kioo
 
Boda boda ni wote tuu wapo hivo au..?
Ukute hii kazi ukishaingia tuu basi hata akili nayo inakua tofauti aiseee
 
Back
Top Bottom