Video: Hotuba ya Sugu kwenye msiba wa Mwabulanga yawaacha wana CCM wakijiinamia kwa aibu

Soon tutakuwa kama wenzetu wa Kenya ambapo wanaitumia misiba kama sehemu mojawapo ya kupashana mambo ya siasa kitu ambacho si cha ki-ungwana kabisa. Mungu atusaidie, tunakoelekea siko!!
 
Bila kuulizwa Sugu ni mwananchi wa kawaida tu anayotamka hayana nguvu yoyote ni sawa na muuza kahawa gengeni
Hivi ccm wanafuata nini kwenye misiba ya Wanachadema ? watu mnaowanunulia magari ya kuwateketeza inakuwaje mjipendekeze wanapokufa vifo vya kawaida ?
 
Soon tutakuwa kama wenzetu wa Kenya ambapo wanaitumia misiba kama sehemu mojawapo ya kupashana mambo ya siasa kitu ambacho si cha ki-ungwana kabisa. Mungu atusaidie, tunakoelekea siko!!
ila kutumia mazabau kupiga siasa ndio halali eeee !
 
sugu ni Rahisi wa mbeya sio Rais hilo tunajua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…