Kanzastone
JF-Expert Member
- Jan 14, 2021
- 244
- 357
Soon tutakuwa kama wenzetu wa Kenya ambapo wanaitumia misiba kama sehemu mojawapo ya kupashana mambo ya siasa kitu ambacho si cha ki-ungwana kabisa. Mungu atusaidie, tunakoelekea siko!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
100%kama ccm walimtesa unadhani upendo utaanzia hapo?Mbali na makosa mengi ya CCM, Je Hilo la siasa Mbele ya maiti nalo unaunga mkono?
Nenda kajifunze maana ya siasa ewe kibwenguSiasa zinatengeneza kitu kibaya Sana kwenye jamii
Inamaana hata kwenye msiba kunafanywa siasa?..
Hivi ccm wanafuata nini kwenye misiba ya Wanachadema ? watu mnaowanunulia magari ya kuwateketeza inakuwaje mjipendekeze wanapokufa vifo vya kawaida ?Bila kuulizwa Sugu ni mwananchi wa kawaida tu anayotamka hayana nguvu yoyote ni sawa na muuza kahawa gengeni
ila kutumia mazabau kupiga siasa ndio halali eeee !Soon tutakuwa kama wenzetu wa Kenya ambapo wanaitumia misiba kama sehemu mojawapo ya kupashana mambo ya siasa kitu ambacho si cha ki-ungwana kabisa. Mungu atusaidie, tunakoelekea siko!!
Wanasiasa wapewe fursa na haki yao ya kufanya shughuli zao za kisiasa ndipo haya mambo YATAISHAHapa ndipo tumefika ambapo hata misiba inakuwa ni sehemu ya kupashana!
Si dalili nzuri kwa wale wanaoelewa!
Hapo ndiyo pazuri kabisa kwa kupashana.
ila kutumia mazabau kupiga siasa ndio halali eeee !
Huu ni ujinga
Machawi ya kijani yalifuata nini hapo kama sio kuja kuwanga tu.Kweli nguvu ya Boyd na People's Power tumeiona mbele ya Cabinet ya CCM iliyohudhuria msiba wa Kamanda wetu.
RIP kamanda Boyd Mwabulanga.
Huu ni ujinga
Ivi kumbe huko.mbeya bado mna kampeni zenu zinaendelea !! Mitano tenaaaaaa
nani huyo? amesemaje?
Siasa zinatengeneza kitu kibaya Sana kwenye jamii
Inamaana hata kwenye msiba kunafanywa siasa?.....
Sugu yuko na stress mingi sana kipindi hikiHapa ndipo tumefika ambapo hata misiba inakuwa ni sehemu ya kupashana!
Si dalili nzuri kwa wale wanaoelewa!
Kuna kipindi walisemaga tujiajiri bila shaka atakuwa ameshaanza huo mchakatoHivi sasa hivi anafanyashughuli gani au amerudi kwenye kazi yake ya kuimba!!