msigwa2018
JF-Expert Member
- Jan 27, 2018
- 262
- 357
Unatawala kitu gani mkuuMimi siyo mpinzani mkuu usinitukane!! Mimi ni mtawala natawala nchi ya Tanzania wapinzani mazuzu ni hao wakina Sugu na mleta thread.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unatawala kitu gani mkuuMimi siyo mpinzani mkuu usinitukane!! Mimi ni mtawala natawala nchi ya Tanzania wapinzani mazuzu ni hao wakina Sugu na mleta thread.
Inastawi kama mboga siyo?Hotel ya nyota 3 , baada ya miezi kadhaa itakuwa nyota 5
confirmed kumbe na wewe ni utopolo kama wenzako Lumumba..Kwa sasa Sugu ni mbunge mstaafu aka raia wa kawaida!
Haya yanaletwa na kuminywa kwa haki, na suluhu yake sio kutunga sheria kandamizi.Siasa zinatengeneza kitu kibaya Sana kwenye jamii
Inamaana hata kwenye msiba kunafanywa siasa?..
Ni Mwenyekiti wa kampuni inayomiliki miradi mbalimbali, ikiwemo hoteli ya kisasa kabisa jijini Mbeya. na kuimba anaimba pia....Hivi sasa hivi anafanyashughuli gani au amerudi kwenye kazi yake ya kuimba!!
inafika mahala lazima unafiki uwekwe pembeni,unamfunga mtu kwa kumwonea unamnyima haki zake siku ya msiba upo mbele kwa nini usimabiwe ukweli?Siasa zinatengeneza kitu kibaya Sana kwenye jamii
Inamaana hata kwenye msiba kunafanywa siasa?
Ni upumbavu ambao ukilelewa mwisho wake watu watatwangana makonde Mbele ya mwili wa marehemu,
Naomba kutumgwe Sheria ya kuheshimu na kutoleta mizaha kwenye misiba
Simmewaziba midomo,upenyo no pale bandeji ikiondolewa kwenye midomo yao.Mbali na makosa mengi ya CCM, Je Hilo la siasa Mbele ya maiti nalo unaunga mkono?
Mmeyajenga mazingira hayo kwa uimbaji mapambio wa hovyo.Hapo ndipo mimi hupenda misiba ya waislamu
yaani SUGU NA HAO WAIMBA SIASA MSIBANI WANGETOKA NA NGEU
Mtu akifariki huwa hawataki ujinga
Wakristo misibani tuko loose hapo Sugu na hao wapambe walitakiwa wakemewe na kiongozi wa dini mara moja
Yule ni Rais wa Mbeya - Kipenzi cha wana MbeyaKumbe ubunge amepigwa chini!! Nilifikiri ni mbunge wa Mbeya. Amebaki kutoa hotuba kwenye misiba tu!!
Acha uongo Tena wewe usijue uliyemwona mchelewesha maendeleo.Yule ni Rais wa Mbeya - Kipenzi cha wana Mbeya
Waliangushwa kwa 75%UNAJUA KULE BUNGENI ASILIMIA NDOGO SANA YA WABUNGE WANAWEZA KWENDA KIFUA MBELE MBELE YA WANANCHI KWA KUJIAMINI KUWA WALISHINDA KIHALALI .........WENGI ROHONI WANAJUA KUWA BILA NGUVU YA JPM WASINGETANGAZWA KUWA WABUNGE ..
Pamoja na Udikteta wake kuna kitu Museveni kinamfanya aendelee kutawala Uganda ...., yule mzee kura anaiba kwa akili sana , kama kula na kipofu .....yaani yeye huwa anaiba kura za ushindi tu iwe asilimia 55 hadi 65% hana neno , na anahakikisha kama eneo kila mtu anajua sio strong hold yake ....halazimishi kushinda kura za urais eneo hilo [ sana sana ataiba tu kupunguza margin ya kushindwa ] , kama anafanya rigging basi ni yale maeneo ambayo kila mtu anajua ni "yake " pengine anaongeza margin ya ushindi ....na mwisho anapata average ..Waliangushwa kwa 75%
Aimbe asiimbe we kinakuwasha nini?Hivi sasa hivi anafanyashughuli gani au amerudi kwenye kazi yake ya kuimba!!
Buku 7 inakutoa ufahamu. Lord have mercy[emoji134][emoji134][emoji134]Kumbe ubunge amepigwa chini!! Nilifikiri ni mbunge wa Mbeya. Amebaki kutoa hotuba kwenye misiba tu!!
Hata mahakama ya Uganda haisikilizi kila anachoagiza Museveni , wala bunge lao halifuati maelekezo yote ya MuseveniPamoja na Udikteta wake kuna kitu Museveni kinamfanya aendelee kutawala Uganda ...., yule mzee kura anaiba kwa akili sana , kama kula na kipofu .....yaani yeye huwa anaiba kura za ushindi tu iwe asilimia 55 hadi 65% hana neno , na anahakikisha kama eneo kila mtu anajua sio strong hold yake ....halazimishi kushinda kura za urais eneo hilo [ sana sana ataiba tu kupunguza margin ya kushindwa ] , kama anafanya rigging basi ni yale maeneo ambayo kila mtu anajua ni "yake " pengine anaongeza margin ya ushindi ....na mwisho anapata average ..
Nimesoma tahariri zinasema hata wapinzani wamepata viti zaidi wakati huuu , ina maana halazimishi wabunge wake kushinda hasa sehemu ambazo NRM haikubaliki ..sana anachojitahidi ni kupata majority tu bungeni mengine halazimishi ....hii inaleta harmony kiasi fulani na kufanya nchi kutawalika ...
Yaani uganda wametushinda hata sisi kwa demokrasia .....hapa kilichotokea ni UJAMBAZI NA UPORAJI wa mchana kweupe hadi maeneo ambayo hata mtoto anajua CCM haipendwi wamelazimisha kutangazwa washindi !
Huo ni ushamba wa Sugu na tatizo la Sugu ni bangi. Uchaguzi tulishamaliza na CCM ikapata ushindi wa kishindo, sasa yeye kwa akili zake mbovu alidhani kwamba lazima washinde wao
Definitely ...you can call him names , anatumia nguvu sana ...[pengine kutokana na nature ya watu wake ] lakini ameacha kidogo watu wake kuwa na uhuru wa kuongea , na mahakama zake kufanya kaziHata mahakama ya Uganda haisikilizi kila anachoagiza Museveni , wala bunge lao halifuati maelekezo yote ya Museveni
Ushindi wa kishindo 😆😆😆 Aibu kubwa sana kwako na waliokuleaHuo ni ushamba wa Sugu na tatizo la Sugu ni bangi. Uchaguzi tulishamaliza na CCM ikapata ushindi wa kishindo, sasa yeye kwa akili zake mbovu alidhani kwamba lazima washinde wao