Video: Hotuba ya Sugu kwenye msiba wa Mwabulanga yawaacha wana CCM wakijiinamia kwa aibu

UNAJUA KULE BUNGENI ASILIMIA NDOGO SANA YA WABUNGE WANAWEZA KWENDA KIFUA MBELE MBELE YA WANANCHI KWA KUJIAMINI KUWA WALISHINDA KIHALALI .........WENGI ROHONI WANAJUA KUWA BILA NGUVU YA JPM WASINGETANGAZWA KUWA WABUNGE ..
 
Hivi sasa hivi anafanyashughuli gani au amerudi kwenye kazi yake ya kuimba!!
Ni Mwenyekiti wa kampuni inayomiliki miradi mbalimbali, ikiwemo hoteli ya kisasa kabisa jijini Mbeya. na kuimba anaimba pia....
 
Siasa zinatengeneza kitu kibaya Sana kwenye jamii

Inamaana hata kwenye msiba kunafanywa siasa?

Ni upumbavu ambao ukilelewa mwisho wake watu watatwangana makonde Mbele ya mwili wa marehemu,

Naomba kutumgwe Sheria ya kuheshimu na kutoleta mizaha kwenye misiba
inafika mahala lazima unafiki uwekwe pembeni,unamfunga mtu kwa kumwonea unamnyima haki zake siku ya msiba upo mbele kwa nini usimabiwe ukweli?
 
Hapo ndipo mimi hupenda misiba ya waislamu
yaani SUGU NA HAO WAIMBA SIASA MSIBANI WANGETOKA NA NGEU

Mtu akifariki huwa hawataki ujinga

Wakristo misibani tuko loose hapo Sugu na hao wapambe walitakiwa wakemewe na kiongozi wa dini mara moja
Mmeyajenga mazingira hayo kwa uimbaji mapambio wa hovyo.
 
UNAJUA KULE BUNGENI ASILIMIA NDOGO SANA YA WABUNGE WANAWEZA KWENDA KIFUA MBELE MBELE YA WANANCHI KWA KUJIAMINI KUWA WALISHINDA KIHALALI .........WENGI ROHONI WANAJUA KUWA BILA NGUVU YA JPM WASINGETANGAZWA KUWA WABUNGE ..
Waliangushwa kwa 75%
 
Waliangushwa kwa 75%
Pamoja na Udikteta wake kuna kitu Museveni kinamfanya aendelee kutawala Uganda ...., yule mzee kura anaiba kwa akili sana , kama kula na kipofu .....yaani yeye huwa anaiba kura za ushindi tu iwe asilimia 55 hadi 65% hana neno , na anahakikisha kama eneo kila mtu anajua sio strong hold yake ....halazimishi kushinda kura za urais eneo hilo [ sana sana ataiba tu kupunguza margin ya kushindwa ] , kama anafanya rigging basi ni yale maeneo ambayo kila mtu anajua ni "yake " pengine anaongeza margin ya ushindi ....na mwisho anapata average ..
Nimesoma tahariri zinasema hata wapinzani wamepata viti zaidi wakati huuu , ina maana halazimishi wabunge wake kushinda hasa sehemu ambazo NRM haikubaliki ..sana anachojitahidi ni kupata majority tu bungeni mengine halazimishi ....hii inaleta harmony kiasi fulani na kufanya nchi kutawalika ...

Yaani uganda wametushinda hata sisi kwa demokrasia .....hapa kilichotokea ni UJAMBAZI NA UPORAJI wa mchana kweupe hadi maeneo ambayo hata mtoto anajua CCM haipendwi wamelazimisha kutangazwa washindi !
 
Hata mahakama ya Uganda haisikilizi kila anachoagiza Museveni , wala bunge lao halifuati maelekezo yote ya Museveni
 
yaani sugu alichokifanya hapo ni ujinga, upumbavu na ushamba of the highest order! kama wapinzani wenyewe ndio mpo hivi, ni afadhari tukarudi nchi ya chama kimoja wallahi
 
Hata mahakama ya Uganda haisikilizi kila anachoagiza Museveni , wala bunge lao halifuati maelekezo yote ya Museveni
Definitely ...you can call him names , anatumia nguvu sana ...[pengine kutokana na nature ya watu wake ] lakini ameacha kidogo watu wake kuwa na uhuru wa kuongea , na mahakama zake kufanya kazi
 
Huo ni ushamba wa Sugu na tatizo la Sugu ni bangi. Uchaguzi tulishamaliza na CCM ikapata ushindi wa kishindo, sasa yeye kwa akili zake mbovu alidhani kwamba lazima washinde wao
Ushindi wa kishindo 😆😆😆 Aibu kubwa sana kwako na waliokulea
 
Back
Top Bottom