Video: How busy is Ubungo bus Terminal?

Nilidhani yule mtz ameuliwa S.A. ni wewe kumbe!
Usisahau kutuwekea stesheni za pugu na kimara. Zinakaa vyoo vya Naivasha Town
 
Dodoma hiyo

Pale Mbezi kuna matusi yanajengwa pale wakimaliza Wakenya watalia
 
Hiyo ni Dar pekee, Kumbuka kunakuwa na Convoy pia kwenye Majiji na Miji yote ya tz, unakuta mpumbavu mmoja anaropoka eti watz wavivu.
Nairobi haina hizi sana sababu watu wengi wana magari yao binafsi. This Tz bus station is just busy because of poverty waTz can't afford cars halafu ona vile mahali pale Ubungo pachafu sana.
 
Kitu nilichogundua kwa mkenya wakiona kitu hawana na hawana uwezo wa kuijenga huwa Wanasema haina umuhimu kwao, kumbe ni wivu tu [emoji23][emoji23][emoji23]

Hahaa.. jamaa wanakwambia train za diesel ndiyo the best duniani. Ila kuna kipindi lilitoka tangazo la danganya toto kuwa wata weka umeme rail yao waliruka na kupiga mayowe kama manyani walio kutana na shamba la ndizi mbivu.
 
Hata BRT walisema sio lazima wajengee barabara yake maalum inaeza pita barabara moja na matatu[emoji23][emoji23][emoji23] kumbe hawajui kuwa BRT inatakiwa iwe na barabara yake pekee ili kusiwepo na jamu.
Hahaa.. jamaa wanakwambia train za diesel ndiyo the best duniani. Ila kuna kipindi lilitoka tangazo la danganya toto kuwa wata weka umeme rail yao waliruka na kupiga mayowe kama manyani walio kutana na shamba la ndizi mbivu.
 
Nairobi haina hizi sana sababu watu wengi wana magari yao binafsi. This Tz bus station is just busy because of poverty waTz can't afford cars halafu ona vile mahali pale Ubungo pachafu sana.
From just Mtwara to Bukoba the distance is 2,000 kilometres divide by 100 then times the avarage fuel consumption per litre then times the price then come back, Kenya is way tiny to scramble all of it
 
Mtwara Bukoba ni 1350

Ukiwa unajibu walau shirikisha ubongo.
Kama unao.
 
Hata wanaoenda Tukuyu huwa hawali njiani. Itakuwa Iringa?
Labla ulipanda screpa mkuu.
Mkuu umepiga Vyombo, Tatizo leo umeanza mapema sana[emoji2]
mimi Iringa huwa nakamua masaa 6 hadi 7 maximum, ni Km500 toka Dar,
Ukitoka dar saa 12 asubuhi saa 6 upo Iringa, Huyo jamaa yako alilala wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…