Janerose mzalendo
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 3,881
- 2,813
Nilidhani yule mtz ameuliwa S.A. ni wewe kumbe!Wakenya wanaona maruerue tu hapo, wakifikiria yale malori yao wanayoteseka nayo kwenye barabara zao mbovu intercounties travellers na wakiona vyuma vya Tanzania wakiteleza kwenye carpets kila mkoa vichwa vinawauma
Stendi tu zenyewe hawana, halafu utaratibu zero kila mtu ni sumatra, mwenye gari ndio mwenye ratiba na utaratibu mzima wa safari mpaka nauli.
Tanzania mambo ni tofauti kuanzia kwenye stendi na kuendelea
Ngoja niwape Chuma kinachojengwa pale the capital, hii terminal ndio kubwa kuliko zote Africa mashariki na kati, itakua na hotels, malls, restaurants, movie halls, etc hii ni zaidi ya airport ya Nairobi
Inakamilika 2020, vyuma vingine ambavyo vipo kwenye ujenzi ni terminals mpya za Dar, Mwanza, Tabora etc
View attachment 1196679View attachment 1196680View attachment 1196681View attachment 1196682
Usisahau kutuwekea stesheni za pugu na kimara. Zinakaa vyoo vya Naivasha Town