Pre GE2025 VIDEO: Huenda huyu ndie Rais anayependwa zaidi barani Africa

Pre GE2025 VIDEO: Huenda huyu ndie Rais anayependwa zaidi barani Africa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mtupumzishe kutupatisha dhambi, mtaacha tuseme au tutukane tupate dhambi na usiku huu.
Msipende kutujumuisha Watanzania wote, tumia umoja wewe na familia yako mnampenda mama yenu anaewapa kula.
 
View attachment 3045019
Hapa Africa nimeshuhudia Marais wengi ila huyu nahisi anapendwa zaidi ya wengine wengi.

Hakika, Sijawahi kuona Rais anagawa Love bites kwa raia wake kama hivi,

"Rais Samia, People do love You Mama"
Eti nyinyi ndio vijana wa taifa la kesho

Dah basi sina cha kukufanya ngoja ninywe maji nimuombe Mungu kisha nilale.
 
Attachments

  • Screenshot_2024-07-16-23-12-46-1.png
    Screenshot_2024-07-16-23-12-46-1.png
    278.6 KB · Views: 1
  • Screenshot_2024-07-16-23-13-09-1.png
    Screenshot_2024-07-16-23-13-09-1.png
    439.9 KB · Views: 1
  • Screenshot_2024-07-16-23-12-25-1.png
    Screenshot_2024-07-16-23-12-25-1.png
    565.5 KB · Views: 1
View attachment 3045019
Hapa Africa nimeshuhudia Marais wengi ila huyu nahisi anapendwa zaidi ya wengine wengi.

Hakika, Sijawahi kuona Rais anagawa Love bites kwa raia wake kama hivi,

"Rais Samia, People do love You Mama"
Hao ni maiti hawajui kinachoendelea duniani, hawajui kama kuna DP World, kuuzwa mbuga za wanyama, misitu yetu. Maiti tu hao Erythrocyte hapo ni wapi sijui kama siyo photoshop, basi hao ni maiti kama alivyosema kenyatta
 
View attachment 3045019
Hapa Africa nimeshuhudia Marais wengi ila huyu nahisi anapendwa zaidi ya wengine wengi.

Hakika, Sijawahi kuona Rais anagawa Love bites kwa raia wake kama
"Rais Samia, People do love You Mama"
I don't love it(frog) I hate it to the maximum. Very corrupt,weak and even not visionary. Very disappointing leader since independence. Only ignorant and corrupt could pose a love to a frog
 
Back
Top Bottom