zerominus10
JF-Expert Member
- Aug 25, 2022
- 8,142
- 13,721
Halafu wanajeshi wa Congo ni waoga wepesi wepesi kinoma kidogo tu wamekimbia ndio maana wanawafanya ushenzi km wangekua ngumu kumeza basi mpaka sasa wangekua tayari wameshamaliza huo upuuzi wa hao wakudaMajeshi ya Tshisekedi yamekimbilia Gisenyi Rwanda yamekimbia mapigano makali na Waasi wa M23.
View: https://youtu.be/sXEJY1ieiTw?si=Zzbhcbgx7DtVr_SL
Baadhi ya makombora ya morter na mizinga inaangukia Gisenyi. Daah!! Raia wawe makini sana.
Uongo uongo wewe unaishi kwenye kiota gani hapo Dar area ipi? Hio imechukuliwa maeneo mazuri hujaonyeshwa machakani huko utafumba machoDar es salaam (peaceful house) imezidiwa kwa uzuri na Goma wanàkodundana kila siku.
Kweli Tanzania nyoko
Goma na Gisenyi ni Miji iliyoungana kama Namanga ya Tanzania na Kenya kwahiyo wanavuka ili kujisalimisha wasije wakatekwa na Waasi.Wanavukaje mpaka?
Watutsi wa Kongo wanapigania existence yao kama Watu wa Jamii ya Kitutsi katika mashariki ya Kongo, Jeshi la Kongo limeungana na Interahamwe FLDR wanapigana bega kwa bega.Halafu wanajeshi wa Congo ni waoga wepesi wepesi kinoma kidogo tu wamekimbia ndio maana wanawafanya ushenzi km wangekua ngumu kumeza basi mpaka sasa wangekua tayari wameshamaliza huo upuuzi wa hao wakuda
KasamuluGoma na Gisenyi ni Miji iliyoungana kama Namanga ya Tanzania na Kenya kwahiyo wanavuka ili kujisalimisha wasije wakatekwa na Waasi.
Hapo kwenye kukimbia ndio mimi nachoka yaan wanakimbia nini hao wakuda wa M23 wamechanjwa hirizi kwamba wakipigwa risasi haziingii au wakipigwa panga halipiti au namna gani?Watutsi wa Kongo wanapigania existence yao kama Watu wa Jamii ya Kitutsi katika mashariki ya Kongo, Jeshi la Kongo limeungana na Interahamwe FLDR wanapigana bega kwa bega.
Kuna fununu wakuu wa jeshi kuungana na M23 na kufanya Coup huko Kinshasa.
Kongo ni ya Wakongomani wa makabila yote.
Tunduma, exactlyNakonde
Hapo utakuta Wazambia, WaCongo na Watanzania wamekutanika pamoja kufanya biasharaTunduma exactly
Jeshi la Kongo hata mshahara huwa hawauoni na mara nyingine wakipokea wanapokea nusu Majenerali wanaupiga juu kwa juu.Hapo kwenye kukimbia ndio mimi nachoka yaan wanakimbia nini hao wakuda wa M23 wamechanjwa hirizi kwamba wakipigwa risasi haziingii au wakipigwa panga halipiti au namna gani?
Mbona hawasemi ni M23 soldiers wangapi wamekufa?
Ndio maana wanafanya kazi ya kanisa na ndio maana nilikua sijaelewa leo nimeanza kuelewa kitu taratibu hapo wana haki ya kukimbiaJeshi la Kongo hata mshahara huwa hawauoni na mara nyingine wakipokea wanapokea nusu Majenerali wanaupiga juu kwa juu.
Ndio maana nasema jeshi letu la Wananchi lirudishwe nyumbani.Ndio maana wanafanya kazi ya kanisa na ndio maana nilikua sijaelewa leo nimeanza kuelewa kitu taratibu hapo wana haki ya kukimbia
unaona raha kwa wenzako vip tanzania nayo tuigawe vipandevipande ilitupate hayo maendeleo haraka maana ccm wametuchelesha munoTena na wengine wajichukulie Kivu Kusini,Kisangani Ili DRC ibakie na maeneo ambayo wanayamudu.
Nchi zikiwa nyingi na ndogo ndogo zinatawalika na Maendeleo yanakuja haraka.
Itakuwa faida Kwa Tanzania.
Tunataka Unity of Africa na iwe inclusive ya Makabila yote bila kuwavua uraia Waafrika wenzetu wa Jamii za Kitutsi.Hao waasi wajitangazie nchi . Jamhuri ya watu wa Goma. Ya nini kung'ang'ania maeneo halafu hamuwez kuyatawala. Africa ili iendelee inabidi mipaka ipunguzwe. Ukiondoa Rwanda,Burundi na Zanzibar nchi zilizobaki kila mkoa ilibidi iwe nchi na wilaya zake ziwe mikoa.
Mbona Burundi ndogo na haina hayo maendeleo?unaona raha kwa wenzako vip tanzania nayo tuigawe vipandevipande ilitupate hayo maendeleo haraka maana ccm wametuchelesha muno