Ramesses II
JF-Expert Member
- Sep 29, 2013
- 3,710
- 5,054
M23 hawana shida na raia. Wao wanasaka jeshi Congo tu. SI umeona hata walipoingia Goma walivyoshangiliwa na raia!Goma na Gisenyi ni Miji iliyoungana kama Namanga ya Tanzania na Kenya kwahiyo wanavuka ili kujisalimisha wasije wakatekwa na Waasi.
M23 hawana shida na raia. Wao wanasaka jeshi Congo tu. SI umeona hata walipoingia Goma walivyoshangiliwa na raia!
Mwanza wako wangapiNilikuwa najua Goma ni Mji mdogo kumbe ni Jiji kubwa zaidi ya Mwanza,Kuna watu zaidi ya 2mln.
Mwanza halina watu Mil.2Mwanza wako wangapi
Mapigano yakipungua waondoke Goma waende Gisenyi wakaweke kambi huko mpaka hali itakapotulia, wajiongeze.
Temeke wapi Kuna mpangilio? Majibu tafadhaliMji ambao haujapangwa ni dar tu,dar penyewe sehemu kama temeke kuna mipangilio mzuri tu
Akikupa jibu unatag please.Temeke wapi Kuna mpangilio? Majibu tafadhali
Pamoja na vita ila ukitoa Dar hakuna Mji wa kusogelea Goma Kwa hapa Tanzania aisee ni Mji mzuri kabisa.Wapiganagi wa 23 wanadai wameuteka Mji wa Goma na kufunga Anga yake.
Maelfu ya watu wamedaiwa kukimbia Ili kujiokoa na dhahama ya waasi.
Haijathibitishwa ikiwa ni kweli au hapana na Wala haeleweki wanadai kulinda amani huko wanalinda kitu.
My Take
M23 jitangazieni Nchi huru huko Kivu Ili amani irudi maana hao wakata mauno wa DR Congo Wameshindwa kujitawala.
Tena na Waasi wengine wachukue North Kivu Ili ziwe Nchi huru na Maendeleo yaje.
Keko sio mbaya kupo vizuriTemeke wapi Kuna mpangilio? Majibu tafadhali
Keko ipi? Majibu tafadhaliKeko sio mbaya kupo vizuri
Mwembeyanga,bandari,wailes,sudan, hospitalTemeke wapi Kuna mpangilio? Majibu tafadhali
Ok mitaa hio inaunafuu kimpangilio kwakweliMwembeyanga,bandari,wailes,sudan, hospital
Magurumbasi hadi usalama kule pako vizuriKeko ipi? Majibu tafadhali
Tandika msikitini pale,kwa mchambe,sokoni hadi double cabin,azimio kwa ujumlaOk mitaa hio inaunafuu kimpangilio kwakweli
Sasa s mnasema kazi ya jeshi ni uzalendo tena leo mnataka mishaharaNdio maana wanafanya kazi ya kanisa na ndio maana nilikua sijaelewa leo nimeanza kuelewa kitu taratibu hapo wana haki ya kukimbia
Wakuja ndio wameharibu mini sijui malamba sijui kitunda ovyo ovyoMji ambao haujapangwa ni dar tu,dar penyewe sehemu kama temeke kuna mipangilio mzuri tu
Jamaa wanatupa silaha chini kisha wanakimbia wengine wanavua gwanda za jeshi kabisa wanavaa kiraia ili wasitambulike km wanajeshi na kujichanganya na raia camera zimewanasa sasa wanatafutwa wahukumiwe jeshini ukiwa vitani ukarudi nyuma wenzio wanaenda mbele unapigwa risasi hadi ufe wewe msalitiSasa s mnasema kazi ya jeshi ni uzalendo tena leo mnataka mishahara