Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Hawa wanamlazimisha Mungu amvune huyo daktari wa kugawa nchi.
Wakati wanamfanyia ibada jiwe tuliwaonya sana
Wakati wanamfanyia ibada jiwe tuliwaonya sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa ni watu useless sana.Eti hao ndio watetezi wa chama. Sasa watashawishi watu kuvaa madera
Kuwa makini wewe utawekewa sumu kwenye maji.Wanabodi, Ni Kweli Maisha Ni Magumu, Kiasi Kwamba Kila Mtu Hasa Vijana Akitaka Apate Unafuu Wa Maisha Basi Ni Shurti "
View attachment 3226794
View attachment 3226793
Kumlamba Miguu" Aliye Juu Yako Kwa Namna Yoyote Itakayokuonesha Wewe Unampenda Muhusika...
Lakini Kwa Tabia Kama Hizi.. It's Too Much..
Yani ningekuwa mimi ndiye mteuzi wake, nikaona clip hii natengua uteuzi wake maana naona ananibeba ufalaWanabodi, Ni Kweli Maisha Ni Magumu, Kiasi Kwamba Kila Mtu Hasa Vijana Akitaka Apate Unafuu Wa Maisha Basi Ni Shurti "
View attachment 3226793
Kumlamba Miguu" Aliye Juu Yako Kwa Namna Yoyote Itakayokuonesha Wewe Unampenda Muhusika...
Lakini Kwa Tabia Kama Hizi.. It's Too Much..
Mkuu tafsiri ni mtazamo binafsi na kila mmoja ana wake mtazamo ila upo vizuri unajali sana.Nimemuomba mod @actianifanyie marekebisho ya hii thread ili kuondoa tafsiri hasi toka kwa wadau ambayo sikuitarajia wala haikua nia na lengo.
samahani kwa wote niliowakwaza!
Disclaimer: I strongly reject and oppose any form of discrimination in the society!
Tushakuwa kama wakongoKuna giza kinene mbeleni, jamii yetu inahitaji kufumuliwa upya
Mod Active yupo very active na hatimae ombi langu limefanyiwa kazi.Mkuu tafsiri ni mtazamo binafsi na kila mmoja ana wake mtazamo ila upo vizuri unajali sana.
Unaowaona ni genius ni rubbish kbs!Kuna watu nilikua nawaona ma genius kutokana na position zao, kumbe hata mimi naweza kushika hizo position na akili zangu kisoda😭