Video: Huu sio uchawa, ni ukupe na ukunguni kabisa. Tuupige vita

Video: Huu sio uchawa, ni ukupe na ukunguni kabisa. Tuupige vita

Mh. Rais Samia hata yeye binafsi kwa hulka yake na utu wake, hapendi tabia za watu kama hawa.
 
Nimemuomba mod Active anifanyie marekebisho ya hii thread ili kuondoa tafsiri hasi toka kwa wadau ambayo sikuitarajia wala haikua nia na lengo.

samahani kwa wote niliowakwaza!

Disclaimer: I strongly reject and oppose any form of discrimination in the society!
 
Kuna watu nilikua nawaona ma genius kutokana na position zao, kumbe hata mimi naweza kushika hizo position na akili zangu kisoda😭
 
Wanabodi, Ni Kweli Maisha Ni Magumu, Kiasi Kwamba Kila Mtu Hasa Vijana Akitaka Apate Unafuu Wa Maisha Basi Ni Shurti "
View attachment 3226793
Kumlamba Miguu" Aliye Juu Yako Kwa Namna Yoyote Itakayokuonesha Wewe Unampenda Muhusika...

Lakini Kwa Tabia Kama Hizi.. It's Too Much..
Yani ningekuwa mimi ndiye mteuzi wake, nikaona clip hii natengua uteuzi wake maana naona ananibeba ufala
 
Nimemuomba mod @actianifanyie marekebisho ya hii thread ili kuondoa tafsiri hasi toka kwa wadau ambayo sikuitarajia wala haikua nia na lengo.

samahani kwa wote niliowakwaza!

Disclaimer: I strongly reject and oppose any form of discrimination in the society!
Mkuu tafsiri ni mtazamo binafsi na kila mmoja ana wake mtazamo ila upo vizuri unajali sana.
 
Wengi wetu tumekuwa mashabiki wa wanamichezo, wasanii wa tasnia mbali mbali nakadhalika, si dhambi mtu akiwa na mahaba na Rais wa nchi yake . Labda kwanini tunachukia wenye mahaba kwa wengine.
 
Mkuu tafsiri ni mtazamo binafsi na kila mmoja ana wake mtazamo ila upo vizuri unajali sana.
Mod Active yupo very active na hatimae ombi langu limefanyiwa kazi.

Kimsingi mkuu sikupendezwa tu na comment za watu kutokana na ulemavu wa jamaa.. sio ubinadamu at all. So I felt guilty as am the one who posted with positive intentions.

End of the day thanks to mods
 
Back
Top Bottom