Video: Huyu kama ni mkeo utamfanyaje?

Hata sijui kama ni mkeo utamfanyaje?

Starehe ya ngono kuifanyia nyumbani hakikisha una hela chafu. Yaaani kama hapa anachokifanya kinamuuma mumewe basi jua mumewe hana hela ya kutombea nyumbani. Mtu mwenye hela ya kutombea nyumbani hua haumii anahama na kujenga nyumba kali kuliko hio na kuanza upya. Vijana musiige watu maana hamjui bank wana sh ngapi ?
 
Nimecheka pale ulipoandika dj anipigie wimbo,

Mi niko salama sababu nayajua maumivu yake kumpenda mtu kwa moyo mmoja unaweza kufa au kufanya vitu vya ajabu na hii inawakuta wanawake wengi sana, tupende kwa kiasi kuepuka ukichaa wa aina hii,
 
Huyo mume hela Hana hapo hata sofa wala godoro hajanunua.
 
Maumivu Yako pande zote ila wanaume wanaumia zaidi kama mtu unampenda.
Ni vile hatuna uwezo wa kuwaadhibu unadhani huyo mwanamke angekuwa na nguvu ya kumchinja huyo mume asingemchinja? Au ingekuwa mwanaume ndo kamfuma mkewe ndani mwake angefanyaje kama sio kuwachinja km kuku nyumba nzima, ni kwa vile mnazo nguvu, sie tunatamanigi hata kuwatafuna ila ndo hata kifinyo hatuezi kuwapa ndo hapo tunaishia kuchepuka au kuwamaliza kimyakimya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ