KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 32,529
- 76,691
hapo kizazi lazima kitulizwe!Lazima utulie mwee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hapo kizazi lazima kitulizwe!Lazima utulie mwee
Starehe ya ngono kuifanyia nyumbani hakikisha una hela chafu. Yaaani kama hapa anachokifanya kinamuuma mumewe basi jua mumewe hana hela ya kutombea nyumbani. Mtu mwenye hela ya kutombea nyumbani hua haumii anahama na kujenga nyumba kali kuliko hio na kuanza upya. Vijana musiige watu maana hamjui bank wana sh ngapi ?
Kavurugwa na michepuo🤣🤣🤣
Akaushe tukayalizie chumbani😄😄🍷Ulitaka afanyajee?
Nimecheka pale ulipoandika dj anipigie wimbo,Sasa kitu gani kimekuchekesha?
Nakuelewa, nakumbuka wakati mtoto wa watu sijaanza tabia mbaya ( nilikua Jesus boy hadi watu wanatilia shaka kama nipo sawa) nikapata girlfriend analazimisha tupige kazi kabla ya ndoa. Nilikua nashangaa sana. Sasa nikaja kujua alikua akiishi na mwanaume mwingine wakati amekuja likizo ndio anataka aniingize mkenge nimuoe...nilitaka kuwa kichaa. Sikujali wazee walishaenda kujitambulisha na sikuwahi kuongelea tena muafaka wa hilo jambo hadi Sasa.
Baadae nikaja kuwaambia wakatoe mahari Kwa Mke niliyenae sasa.
Cha ajabu huyo Binti aliyetaka kunipa ukichaa leo kanitumia sms kunijulia hali. Nimejikuta naongea peke yangu.
Wivu wa mtu anaejitunza au kumpenda sana mtu hauelezeki.
Bila shaka uko salama!
Nimecheka pale ulipoandika dj anipigie wimbo,
Mi niko salama sababu nayajua maumivu yake kumpenda mtu kwa moyo mmoja unaweza kufa au kufanya vitu vya ajabu na hii inawakuta wanawake wengi sana, tupende kwa kiasi kuepuka ukichaa wa aina hii,
Taratibu tunasahaugi baada ya miezi 15😄Maumivu Yako pande zote ila wanaume wanaumia zaidi kama mtu unampenda.
Huyo mume hela Hana hapo hata sofa wala godoro hajanunua.Starehe ya ngono kuifanyia nyumbani hakikisha una hela chafu. Yaaani kama hapa anachokifanya kinamuuma mumewe basi jua mumewe hana hela ya kutombea nyumbani. Mtu mwenye hela ya kutombea nyumbani hua haumii anahama na kujenga nyumba kali kuliko hio na kuanza upya. Vijana musiige watu maana hamjui bank wana sh ngapi ?
🤣🤣🤣🤣🤣
Naona ni okei kubaki na mapmb 😹😹😹.🤣🤣🤣🤣🤣
Mwenyekiti toa tamko!
😄😄😄😄😄Kalelewa ama yupo kwa mshangaziHuyo mume hela Hana hapo hata sofa wala godoro hajanunua.
Mie hilo panga nikajua atapita na shingo ya mtu, kumbe godoro tu!!!Naona ni okei kubaki na mapmb 😹😹😹.
Ila mwanamke mwenzetu apewe k vant kubwa bila glass apooze hasira
Ni vile hatuna uwezo wa kuwaadhibu unadhani huyo mwanamke angekuwa na nguvu ya kumchinja huyo mume asingemchinja? Au ingekuwa mwanaume ndo kamfuma mkewe ndani mwake angefanyaje kama sio kuwachinja km kuku nyumba nzima, ni kwa vile mnazo nguvu, sie tunatamanigi hata kuwatafuna ila ndo hata kifinyo hatuezi kuwapa ndo hapo tunaishia kuchepuka au kuwamaliza kimyakimyaMaumivu Yako pande zote ila wanaume wanaumia zaidi kama mtu unampenda.
Thread ilitakiwa iwe na "tanzia" 😹Mie hilo panga nikajua atapita na shingo ya mtu, kumbe godoro tu!!!