contask
JF-Expert Member
- Jan 3, 2021
- 780
- 1,579
Huyo mwanamke ni mpinga maendeleo ,hakuna uhusiano wa moja kwa moja kati ya kufumania na kufanya uharibifuNdio nimeshangaa, unaharibu mali wakati vitu vidogo hivyo vinazungumzika.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo mwanamke ni mpinga maendeleo ,hakuna uhusiano wa moja kwa moja kati ya kufumania na kufanya uharibifuNdio nimeshangaa, unaharibu mali wakati vitu vidogo hivyo vinazungumzika.
Aisee ndio mana tunashauriwa sana siku zote tujitahidi kuzizuia hasira.Ndio nimeshangaa, unaharibu mali wakati vitu vidogo hivyo vinazungumzika.
Kama walikuwa hapo ndani,iliwashwa tv wakati huo kuna vinywaji vilitumika japo maji,unafiri radio haikutumika?vyote vimetumika hapo kwa namna moja au nyingine.ndiyo vilivyotumika, kifupi vimenajisiwa
Mwanaume akishakuwa malaya anakuw katili Sanaa hawazi maumivu atakayoyapata mkeweWanaume acheni haya mambo jamani yanaumiza sana!
Mwanaume kazingua mno, kumbe alimleta mchepuko wakafanya ushenzi mbele ya watoto?
Ila nimechekaaaa! Anayoyaongea huyo mwanamke kwa hasira yamenivunja mbavu.
Kweli kabisa na huyo jamaa anavyorekodi baada ya kumtuliza mkewe wayamalize ndo anamzidisha mihasira.Matatizo ya akili haya
TV havunji kuna tamthilia baadaeMbona tv kairuka,kuna fridge hapo na radio angepita navyo vyote ,naona anachagua vya kufanyia uharibif,very smart woman🥳
We huoni panga hiloKweli kabisa na huyo jamaa anavyorekodi baada ya kumtuliza mkewe wayamalize ndo anamzidisha mihasira.
Kwa hiyo atakaa kwenye mkeka maana sofa halifai,aache ubaguzi bwana.TV havunji kuna tamthilia baadae
Hahahaaa. Hata kama bana Mkuu siku zote mkishakuwa mke na mume kila mmoja anajua yalipo madhaifu ya mwenzie.We huoni panga hilo
Angempa asafishe tu kuliko kuharibu, alikuwa na yake huyo.Anadai wamemchafulia vitu vyake
Si ndio hapo,Hahahahaha huyu mwenzetu kichaa kimezidiii
Si umuache tu aendeelee na umalayaaa wake kama amekushinda
Kwa ujinga anaofanya hao ndo kwanzaaaa watazidi kukojoleanaSi ndio hapo,
Sio mbele ya pangaHahahaaa. Hata kama bana Mkuu siku zote mkishakuwa mke na mume kila mmoja anajua yalipo madhaifu ya mwenzie.
Akili mtu wangu, alafu huyo mwanaume mwenyewe haonekani hata kujutia.Kwa ujinga anaofanya hao ndo kwanzaaaa watazidi kukojoleana