Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Kama hadi kurekodi kaweza tena maeneo tofauti tofauti anamfuata ni dhahiri anajua huyo mama aezi fanya kitu na hilo panga Mkuu.Sio mbele ya panga
Lakini yote kwa yote huyo jamaa kazingua.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama hadi kurekodi kaweza tena maeneo tofauti tofauti anamfuata ni dhahiri anajua huyo mama aezi fanya kitu na hilo panga Mkuu.Sio mbele ya panga
Nimeacha dada.Wanaume acheni haya mambo jamani yanaumiza sana!
Mwanaume kazingua mno, kumbe alimleta mchepuko wakafanya ushenzi mbele ya watoto?
Ila nimechekaaaa! Anayoyaongea huyo mwanamke kwa hasira yamenivunja mbavu.
Hizo ni dharau za hali ya juu huyo baba ameonyesha kwa mke wake.Akili mtu wangu, alafu huyo mwanaume mwenyewe haonekani hata kujutia.
Unataka kunambia sio hasira za kawaida tu hapo mtu analitaka kojoo???Mama wa watu ukute nanii haijaguswa Ina mwaka sasa hapo hasira za kuliwa nanii ya mumewe plus kichaa cha kutoguswa mwaka vikichngamana matokeo ndo hayo hasira anahamishia kwa makochi na magodoro.
Wakija kusuluhishwa akipatiwa dawa atajiona falaa Sana kwa kuharibu fenicha
Humsikii anachekaAkili mtu wangu, alafu huyo mwanaume mwenyewe haonekani hata kujutia.
Na jamaa hana kitu kaambiwa ana poumbou tuu 😆Kama hadi kurekodi kaweza tena maeneo tofauti tofauti anamfuata ni dhahiri anajua huyo mama aezi fanya kitu na hilo panga Mkuu.
Lakini yote kwa yote huyo jamaa kazingua.
Sasa boss wewe huoni jaman.Unataka kunambia sio hasira za kawaida tu hapo mtu analitaka kojoo???
View attachment 3039613
Shadeeya....hapo wote wamekutana ninachojaribu kusema huyo mwanaume inaonekana ndio mchezo wake, kwa mwanamke kuanza kuharibu mali zake/zao ni kama anajikomoa mwenyewe tu, ipo namna angeweza kufanya Ila sio huo ujinga.Hizo ni dharau za hali ya juu huyo baba ameonyesha kwa mke wake.
Hajafanya sawa kiukweli.
😅😅😅nimecheka hata kabla sijaangaliaIla huyo jamaa jasiri sana, mwanamke kashika panga unamfanyia masihara? Anaweza kukuunganisha na godoro.
Kapeace njoo utie neno kidogo, DJ akulete na wimbo wa cool down ulioimbwa na Lucky Dube.
Kabisa, kama mmeshazaa na mtoto mkubwa hivyo, hapo huyo dada hata asingejisumbua.Humsikii anacheka
Anasubiri jioni apite kwa mchepuko atulizwee huku wanamcheka chizi mke.
Sasa kama mume aliweza kuchepukia ndani kwake heshima iko wapi?
Ushauri angetafuta tu kipozeo Mahali aachane na huyo mume. Hapo huba limeisha
Sijaimaliza mpaka mwisho ndugu yangu, huyo dada aende akatafute dogodogo huko nje nae akakojozwe nyege zimtoke, anajitia hasara bure tu hapo.Sasa boss wewe huoni jaman.
Huyo ana hasira za ziada.
Bibi aliwahi muonya mwanae baada ya mkwe wake kushtak kwamba anko hamgusi akamwambia hata kama unachepuka usimnyime mkeo dawa. Hilo ni kosa kubwa utamuumiza sana
Hahahaa. Ila ndo hizi hapana kwa kweeeli.Na jamaa hana kitu kaambiwa ana poumbou tuu 😆
Ni basi tu wanawake hawajuiKabisa, kama mmeshazaa na mtoto mkubwa hivyo, hapo huyo dada hata asingejisumbua.
Hapo umenenaaaaSijaimaliza mpaka mwisho ndugu yangu, huyo dada aende akatafute dogodogo huko nje nae akakojozwe nyege zimtoke, anajitia hasara bure tu hapo.
Ajibu nini sasa mtu anateketeza mali zake kwa mikono yake mwenyeweHahahaa. Ila ndo hizi hapana kwa kweeeli.
Na jamaa alivyomjanja hata hajibu kitu.
Kwani huyu jamaa alitombana na mwanaume mwenzio. Si na mwanamke. So usiseme wanaume waache sema watu wote waache 😂 😂Wanaume acheni haya mambo jamani yanaumiza sana!
Mwanaume kazingua mno, kumbe alimleta mchepuko wakafanya ushenzi mbele ya watoto?
Ila nimechekaaaa! Anayoyaongea huyo mwanamke kwa hasira yamenivunja mbavu.
sijui hii ndo inaitwa hasira ya mkizi
Ni kweliHakunaga ndoa yenye usaliti ikadumu