Video: Huyu kama ni mkeo utamfanyaje?

Video: Huyu kama ni mkeo utamfanyaje?

Mama wa watu ukute nanii haijaguswa Ina mwaka sasa hapo hasira za kuliwa nanii ya mumewe plus kichaa cha kutoguswa mwaka vikichngamana matokeo ndo hayo hasira anahamishia kwa makochi na magodoro.
Wakija kusuluhishwa akipatiwa dawa atajiona falaa Sana kwa kuharibu fenicha
Unataka kunambia sio hasira za kawaida tu hapo mtu analitaka kojoo???
20240709_135200.jpg
 
Hizo ni dharau za hali ya juu huyo baba ameonyesha kwa mke wake.

Hajafanya sawa kiukweli.
Shadeeya....hapo wote wamekutana ninachojaribu kusema huyo mwanaume inaonekana ndio mchezo wake, kwa mwanamke kuanza kuharibu mali zake/zao ni kama anajikomoa mwenyewe tu, ipo namna angeweza kufanya Ila sio huo ujinga.
 
Ila huyo jamaa jasiri sana, mwanamke kashika panga unamfanyia masihara? Anaweza kukuunganisha na godoro.

Kapeace njoo utie neno kidogo, DJ akulete na wimbo wa cool down ulioimbwa na Lucky Dube.
😅😅😅nimecheka hata kabla sijaangalia

Baada ya kuangalia sasa, mwanamke ana hasira sana yeye kajitunza ila mwanaume kitombile cha mtaa kwanza panga tu angetia moto hivyo vitu vyote ili aone majivu tu, uaminifu ni mzuri ila una gharama zake na ndo hizo

Ukiona mwanamke wako kakufumania na hajapandisha hasira namna hii ni ama hakupendi, anae mchepuko wake au kakukatia tamaa kabisa huenda akakuua kimya kimya
 
Humsikii anacheka
Anasubiri jioni apite kwa mchepuko atulizwee huku wanamcheka chizi mke.
Sasa kama mume aliweza kuchepukia ndani kwake heshima iko wapi?
Ushauri angetafuta tu kipozeo Mahali aachane na huyo mume. Hapo huba limeisha
Kabisa, kama mmeshazaa na mtoto mkubwa hivyo, hapo huyo dada hata asingejisumbua.
 
Sasa boss wewe huoni jaman.
Huyo ana hasira za ziada.
Bibi aliwahi muonya mwanae baada ya mkwe wake kushtak kwamba anko hamgusi akamwambia hata kama unachepuka usimnyime mkeo dawa. Hilo ni kosa kubwa utamuumiza sana
Sijaimaliza mpaka mwisho ndugu yangu, huyo dada aende akatafute dogodogo huko nje nae akakojozwe nyege zimtoke, anajitia hasara bure tu hapo.
 
Sijaimaliza mpaka mwisho ndugu yangu, huyo dada aende akatafute dogodogo huko nje nae akakojozwe nyege zimtoke, anajitia hasara bure tu hapo.
Hapo umenenaaaa
Dawa ya moto ni moto. Ya nini kulipiza kisasi kwenye godoro. Anatembea kama kichaa aliyekoswa na gari bwana. Siku hizi wanwake hawalii over a dick... Y na wala hawapigani.
 
Wanaume acheni haya mambo jamani yanaumiza sana!

Mwanaume kazingua mno, kumbe alimleta mchepuko wakafanya ushenzi mbele ya watoto?

Ila nimechekaaaa! Anayoyaongea huyo mwanamke kwa hasira yamenivunja mbavu.
Kwani huyu jamaa alitombana na mwanaume mwenzio. Si na mwanamke. So usiseme wanaume waache sema watu wote waache 😂 😂
 
Back
Top Bottom