Video: Huyu ndio Mwanamke asietaka kumpikia Mume wake

Mjanja M1

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
4,058
Reaction score
14,382
Wengi mnamjua kama Diva The Bawse, huyu Mwanamke anajiita Rihanna na pia bila kusahau anajiita Beyonce.

Huyu Beyonce wa Bongo hataki kumpikia wala kumfulia Mume wake, kwa mujibu wa hii Video.

ANGALIA VIDEO HAPA

📹 ZamaradiTv
 
Maisha ni kuchagua. Kachagua wa hivyo acha akonde. Japo mitandao ndio inawaharibia mabinti wengi. Kuna binti akiiona hii anajua haya ndio maisha na yeye siku akiolewa hataki kupika hata kama ni mama wa nyumbani kbe mwenzie nimtafutaji anachoka kitu abachi kinaingia akilini.

Tungatie hili wakuu, ukioa mfanyakazi yaan mnaishi ndani mko bread finders wawili, basi ukubali pia kugawana baadhi ya mamlaka, maamuzi, na mengine. Huwezi kuwa na power sana na yule aliyeoa mama wa kulea watoto home. Huyu Beyonce inaingia akilini kidogo maana nae anatafuta. Shida kwa ashura nae atataka kufanya hivyo wakati kila kitu anapewa na mumewe
 
Ni suala la muda kabla huyo mwanaume hajapata wa kumfulia na kupika, then atabaki anajiuliza imekuwaje
 
mbona kama yanayosemwa jf ni tofauti na mtaani

mtaani naona kila ke anafanya kazi, hakuna mama wa nyumbani

au tulioko nje hatujui ya ndani
Ni kweli ila wapo wabinti wanaishi kwako kama anafanya kazi inamaa ni ya kwako ukimuoa wewe ndio utampa kazi ya kufanya vinginenyo atabaki home. Wengi wanaofanya kazi unakuta alishaanza kujitegemea anaishi kwake, ogopa sana hao. Ndio maana kuna uzi humu mwana alishauri mke mtoe kwao sio geto kwake
 
Back
Top Bottom