Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 32,603
- 62,269
😂 😂Hata mimi nimemshangaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂 😂Hata mimi nimemshangaa
Hahah, nikajua nimeanza mkosoa muumbaHuyo Diva mbona hana mtembeo wa kike??...
Tuungame dhambi zetu...hahhahaHahah, nikajua nimeanza mkosoa muumba
Ana mtembeo wa kimamlakaHuyo Diva mbona hana mtembeo wa kike??...
Huyo Diva mbona hana mtembeo wa kike??...
Hapo hamna mwanaume.Wengi mnamjua kama Diva The Bawse, huyu Mwanamke anajiita Rihanna na pia bila kusahau anajiita Beyonce.
Huyu Beyonce wa Bongo hataki kumpikia wala kumfulia Mume wake, kwa mujibu wa hii Video.
ANGALIA VIDEO HAPA
View attachment 2885920
[emoji329] ZamaradiTv
Kichefuchefu..Wengi mnamjua kama Diva The Bawse, huyu Mwanamke anajiita Rihanna na pia bila kusahau anajiita Beyonce.
Huyu Beyonce wa Bongo hataki kumpikia wala kumfulia Mume wake, kwa mujibu wa hii Video.
ANGALIA VIDEO HAPA
View attachment 2885920
📹 ZamaradiTv
Ana matatizo walai..Mange ana matatizo ila huyu kazidisha anaforce kuishi maisha ambayo siyo yake...Yaan video zimemuumbua anavyojifichaga na kujiedit filter za nguvu watu wanacheka hatari bora angejikubali tu watu wasingemsema
Nimecheka sanaAna matatizo walai..Mange ana matatizo ila huyu kazidisha anaforce kuishi maisha ambayo siyo yake...
Diva tangu lini amejua kupika?Wengi mnamjua kama Diva The Bawse, huyu Mwanamke anajiita Rihanna na pia bila kusahau anajiita Beyonce.
Huyu Beyonce wa Bongo hataki kumpikia wala kumfulia Mume wake, kwa mujibu wa hii Video.
ANGALIA VIDEO HAPA
View attachment 2885920
📹 ZamaradiTv