Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nchi yetu hii na wanaopenda kujiita wanasiasa,... sijui kama unaweza ukawapata wanasiasa kwelikweli wanaoamini na kusimamia chochote zaidi ya uanasiasa wao.View attachment 1772606
Naupenda Urais...
View attachment 1772605
Nampenda Lissu...
View attachment 1772607'
Naipenda Chadema...
View attachment 1772608
Hapa nimefika...
Unaukosea sana msemo huo.^In politics, the end justifies the means^
Kwa nini kuisimanga Chadema?Mnamuonea Nyalandu, yeye na wenzake wengi walimkimbia Magufuli. Sasa Magufuli hayupo wanarudi kwao.
umechelewa kuwafahamu wanasiasa.Binafsi sikutegemea jamaa angekuja kuwa mnafiki na mpuuzi kiasi hiki.
Mbona wewe uliachana na mademu kibao huku ukiwaambia unawapenda, mama watoto, sijui wakikuacha utakufa na maneno kedekede.View attachment 1772606
Naupenda Urais...
View attachment 1772605
Nampenda Lissu...
View attachment 1772607'
Naipenda Chadema...
View attachment 1772608
Hapa nimefika...
Human beings are not static, they are dynamic, and hence, they change with time, place and circumstances!.View attachment 1772606
Naupenda Urais...
View attachment 1772605
Nampenda Lissu...
View attachment 1772607'
Naipenda Chadema...
View attachment 1772608
Hapa nimefika...
Njaa point of view speakingHuman beings are not static, they are dynamic, they change with time and place.
P
Nyalandu ni Mnafiki sana. MWaka 2020 hakustahili hata kuchukua Fomu Zaidi ya kuamua kumpa support Tundu Lisu mapema sana. Yaani hata anavyoongea tu hapo anaonesha kabisa moyoni mwake kama kaumia sana sana. Nyalandu tangu akiwa kiongozi wa Ukwata Enzi hizo akisoma Sekondari alikuwa ni mnafiki nafiki tu mtafuta nafasi "opportunist". Mwaka 2020 alihisi fika kuwa CHADEMA inaenda kushinda ndiy maana akarukia tawi hilo la mti. Tawi hilo limekatika basi amerukia tawi linguine - huyu ni mnafiki na sijawahi kumwamini tangu atoke CCM. Tena alitoka baada ya kutoswa UWaziri - kwani angebaki na ubunge wake wakati huo unafikiri JPM angeshindwa kumbeba? Akwendereeeee zake hukoooooooo!View attachment 1772606

Anadai Chadema walimteka...kasahau kambi ya watekaji, watesaji na wauaji ilipo!Kwa nini kuisimanga Chadema?
Walimuhifadhi
Walimfichia siri
Walimuokoa kutokupata aibu
Walimtunza
Walimheshimu zaidi walimlinda
Kujisemeshasemesha ndio nini?
Uzuri historia haifutiki
Heshima na Adabu si wa kufundishwa
Amekosa hekima busara na ustaarabu
Ila amelikoroga karibu atalinywa
Karma is ananiluuuu