CCM ndiyo inataka kutupelekea wabunge wa dizaini hii halafu, weupe na wasio na uelewa na ufahamu wa namna serikali inavyofanya kazi.
Gwajima anataka kuwaaminisha wananchi kuwa utofauti wa bei ya sukari unasababishwa na mbunge kutosema.
Kwa usomi wake na exposure aliyonayo kila mtu alitegemea amwambie mwananchi huyu moja kwa moja kuwa, hali hiyo inasababishwa na ubovu ama udhaifu wa SERA na MIPANGO ya hovyo ya KIUCHUMI/BIASHARA ya serikali ya CCM.
Lakini Gwajima kwa kutojua ama kwa makusudi kabisa naona ameamua naye kujiunga na "timu unafiki, uovu na uongo" ya maCCM na kuwa mnafiki na mwongo kama hao aliojiunga nao walivyo waongo.
Ukipiga kura ya rais kwa Tundu Lissu, ujue unapiga kura ya katiba mpya, ujue unapiga kura kwa rais ambaye atarudisha uhuru na haki za wananchi, ujue unapiga kura kwa rais ambaye hatawasimanga..".Tundu Lissu. #Uchaguzi2020
Jamaa ametolewa jasho la ajabu, siasa haiwezi kabisa, anaonekana ame-panic halafu ana majibu mepesi anadhani anawadanganya wale waumini wake kanisani, huku kazi anayo, Mdee anasubiri kuapishwa tu, huyo Gwajima atapigiwa kura na "wanazi" wa mipasho yake.
Kweli Gwajima ni jembe [emoji123] maana si kwa nyuzi zinazoanzishwa zidi yake hii inaonesha jamaa anakitu cha tofauti!
Mkoa wa DSM una majimbo mengi na wagombea wengi wako mfano kina Bona wa Segerea, Ukonga kuna nani sijui, Temeke, Ubungo, Kibamba, Kinondoni, Kawe, Kigamboni n.k
Cha ajabu wagombea wa huko kwingine wala hawaazishiwi nyuzi isipokuwa Kawe na Gwajima!
Indeed Gwajima is Great [emoji123]
Wanakawe ni bahati na Neema kubwa kumpata mtu kama Gwajima kuwa mbunge wenu!