Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,430
- 11,813
Sikiliza kauli zake utajua kuwa huyu ni tapeli,
.....Aliwahi kusema pale kanisani kwake atazindua treni kwani pesa cash ameshazipata lakini mpaka leo hakuna lolote
.... Aliwahi kusema yeye hawezi kugombea Urais, Uwaziri wala Ubunge, kwani Mtumishi wa Mungu ni zaidi ya Rais, Waziri, na Mbunge. Leo yako wapi sasa.
Yako mengi sana achilia mbali kauli yake ya hivi karibuni kuwa atampeleka Marekani kila mwanakawe. Mpaka watu wameanza kutilia shaka elimu yake baada ya kusikiliza kauli za huyu Gwajboy.
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Allency the World is Dynamic is dynamic always and not static!
Ktk modern management inaruhusiwa ku revise your priorities ktk kuweza kutimiza malengo ya taasisi husika.
Vivyo hivyo hata kwa ngazi ya familia au mtu binafsi ni kawaida kabisa kwa mtu kuamua kupitia na kupangilia upya vipaombele vyake baada ya kuzingatia mambo au sababu kadha wa kadha ikiwemo sababu ya ukosefu wa rasilimali fedha, watu, muda, politics situations, change in government policies, mahitaji ya watu, mabadiliko ya technology n.k.
Kwa hiyo hivyo ndivyo mambo yanavyoenda wala hakuna lakushangaza hapo!
Gwajima ametafakali na kuamua ku revise his priorities kuendana na wakati tulionao Ndiyo maana amebadili mawazo ambayo kwa kufanya hivyo hajavunja sheria yoyote!
Mtu kutafakali na kupanga upya vipaombele vyako siyo tatizo.
Ndicho alichofanya jamaa!
Kwa kigezo hicho hawezi kuwa tapeli labda ulete sababu au vipimo vingine!