dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 23,901
- 58,103
fluffer wa brazzers na ubunge wapi na wapi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mchagueni awapige UNOOCCM ndiyo inataka kutupelekea wabunge wa dizaini hii halafu, weupe na wasio na uelewa na ufahamu wa namna serikali inavyofanya kazi.
Gwajima anataka kuwaaminisha wananchi kuwa utofauti wa bei ya sukari unasababishwa na mbunge kutosema.
Kwa usomi wake na exposure aliyonayo kila mtu alitegemea amwambie mwananchi huyu moja kwa moja kuwa, hali hiyo inasababishwa na ubovu ama udhaifu wa SERA na MIPANGO ya hovyo ya KIUCHUMI/BIASHARA ya serikali ya CCM.
Lakini Gwajima kwa kutojua ama kwa makusudi kabisa naona ameamua naye kujiunga na "timu unafiki, uovu na uongo" ya maCCM na kuwa mnafiki na mwongo kama hao aliojiunga nao walivyo waongo.
Sasa ona jinsi mzee huyu anavyomuabisha hapa.
Acha kuota kawe hamna watu wajinga ivo
Kwahiyo kama hakuna 'Wajinga' hivyo unataka kusema kuwa kuna 'Wapumbavu' au?
Kweli Gwajima is great katika utafunaji kondoo , halafu anajua kuvhagua kondoo na kuwatifua topeKweli Gwajima ni jembe [emoji123] maana si kwa nyuzi zinazoanzishwa zidi yake hii inaonesha jamaa anakitu cha tofauti!
Mkoa wa DSM una majimbo mengi na wagombea wengi wako mfano kina Bona wa Segerea, Ukonga kuna nani sijui, Temeke, Ubungo, Kibamba, Kinondoni, Kawe, Kigamboni n.k
Cha ajabu wagombea wa huko kwingine wala hawaazishiwi nyuzi isipokuwa Kawe na Gwajima!
Indeed Gwajima is Great [emoji123]
Wanakawe ni bahati na Neema kubwa kumpata mtu kama Gwajima kuwa mbunge wenu!
[emoji3][emoji3][emoji3]
Beberu si kiumbe mzuriKweli Gwajima ni jembe [emoji123] maana si kwa nyuzi zinazoanzishwa zidi yake hii inaonesha jamaa anakitu cha tofauti!
Mkoa wa DSM una majimbo mengi na wagombea wengi wako mfano kina Bona wa Segerea, Ukonga kuna nani sijui, Temeke, Ubungo, Kibamba, Kinondoni, Kawe, Kigamboni n.k
Cha ajabu wagombea wa huko kwingine wala hawaazishiwi nyuzi isipokuwa Kawe na Gwajima!
Indeed Gwajima is Great [emoji123]
Wanakawe ni bahati na Neema kubwa kumpata mtu kama Gwajima kuwa mbunge wenu!
[emoji3][emoji3][emoji3]
Halima hajachokwa Kawe, rudia utafiti wako kama umefanya! Kama Gwajima atashinda Kawe haiwezi kuwa ni kwa sababu ya Mdee kuchokwa, labda iwe ni kushindishwa. Ukweli ni kwamba wana Kawe hawako tayari kabisa kuongozwa na Gwajima!Askofu Gwajima atashinda Ubunge kwakuwa tu wana Kawe 'wameshamchoka' Mbunge Mdee ila siyo kwa Yeye 'Kukubalika' na Wapiga Kura Kawe.
Halima hajachokwa Kawe, rudia utafiti wako kama umefanya! Kama Gwajima atashinda Kawe haiwezi kuwa ni kwa sababu ya Mdee kuchokwa, labda iwe ni kushindishwa. Ukweli ni kwamba wana Kawe hawako tayari kabisa kuongozwa na Gwajima!
Una akili ndogo sana! Kutimua? Ili iweje? Siku zote watu wanapomchoka kiongozi aina ya mbunge huonyesha kwenye sanduku la kura, sio kutimua! Kutimua ni uhuni ambao umeletwa na awamu ya tano kama mbinu za kishamba za kuonyesha kuwa mbunge fulani hakubaliki. Mmefanya hivyo Hai kwa Mbowe mmevutisha bangi na kulewesha gongo wahuni ili wamfanyie fujo kuonyesha kuwa hakubaliki baada ya kuwa amewazidi akili kila mnapomfanyia hujuma! Narudia: HALIMA MDEE huwezi kumlinganisha na tapeli GWAJIMA. Na mtu anayeona kwamba GWAJIMA anafaa kuwa mbunge basi akili yake itakuwa inahitaji msaada wa haraka sana!Je unayo Habari kuwa yapo baadhi ya maeneo ameenda kufanya Campaign lakini wamemtimua?
Je hiyo siyo dalili mojawapo ya kuchokwa?
Kamuulize hivi karibuni alipoenda Goldstar mwitikio ulikuwaje?
Labda kama hujui ni kuwa walimtimua!
Uwe unatafuta kupata updates usitumie mazoea!
Ukweli ndiyo huo kuwa Halima kachokwa [emoji108]
Actually hata yeye mwenyewe deep inside her soul analijua hilo isipokuwa anajaribu kukomaa aone pengine ataweza kuokota dodo chini ya mchongoma! (Muujiza).
Yaaatapeli achaguliwe Mbunge Watudar wakomakinAskofu Gwajima atashinda Ubunge kwakuwa tu wana Kawe 'wameshamchoka' Mbunge Mdee ila siyo kwa Yeye 'Kukubalika' na Wapiga Kura Kawe.
Una akili ndogo sana! Kutimua? Ili iweje? Siku zote watu wanapomchoka kiongozi aina ya mbunge huonyesha kwenye sanduku la kura, sio kutimua! Kutimua ni uhuni ambao umeletwa na awamu ya tano kama mbinu za kishamba za kuonyesha kuwa mbunge fulani hakubaliki. Mmefanya hivyo Hai kwa Mbowe mmevutisha bangi na kulewesha gongo wahuni ili wamfanyie fujo kuonyesha kuwa hakubaliki baada ya kuwa amewazidi akili kila mnapomfanyia hujuma! Narudia: HALIMA MDEE huwezi kumlinganisha na tapeli GWAJIMA. Na mtu anayeona kwamba GWAJIMA anafaa kuwa mbunge basi akili yake itakuwa inahitaji msaada wa haraka sana!
Namfahamu Gwajima vizuri sana. Na kadri ya mjadala huu naweza kuandika kwa kujiamini kabisa kuwa inawezekana kabisa kwamba namfahamu zaidi Gwajima kuliko unavyomfahamu wewe! na kutokana ninavyomfahamu Gwajima nitaendelesa kuwa upande ule unaoamini kuwa hata kama Halima ana mapungufu yake kama binadamu na kama kiongozi, lakini bado ni mzuri zaidi kuliko Gwajima kwa nafasi ya ubunge wa Kawe!Akili huwa vile ilivyo na siyo vile wewe utasema kwa mtu fulani!
Huu mjadala hauhitaji hasira!
Yani kumtukana mtu ndo unaona umetoa hoja nzito?
Bahati Nzuri mimi huwa nimejifunza kuwa psychologically matured enough hayo matusi yako wala sijali sana sana inanipa kujua wewe ni mtu wa aina gani!
Hata mimi sikubaliani na swala la kumtimua mgombea hekima ni kumsikiliza kisha kusubiri kupiga kura ya Ndiyo kwa umpemdaye!
Inavyoonekana wewe humfahamu vizuri Gwajima utendaji wake!
Ni miongoni mwa watu fulani ambao kama wanachuki binafsi na Gwajima lakini sasa haisadii!
Bidada Halima hana jipya mimi mwenyewe nilikuwa namkubali sana lakini sasa hapana!
Namfahamu Gwajima vizuri sana. Na kadri ya mjadala huu naweza kuandika kwa kujiamini kabisa kuwa inawezekana kabisa kwamba namfahamu zaidi Gwajima kuliko unavyomfahamu wewe! na kutokana ninavyomfahamu Gwajima nitaendelesa kuwa upande ule unaoamini kuwa hata kama Halima ana mapungufu yake kama binadamu na kama kiongozi, lakini bado ni mzuri zaidi kuliko Gwajima kwa nafasi ya ubunge wa Kawe!
Gwajima hadi mbuzi tu wakazi wa kawe hawamtaki, wamekula Bango zake,wamemfuta kabisaKweli Gwajima ni jembe [emoji123] maana si kwa nyuzi zinazoanzishwa zidi yake hii inaonesha jamaa anakitu cha tofauti!
Mkoa wa DSM una majimbo mengi na wagombea wengi wako mfano kina Bona wa Segerea, Ukonga kuna nani sijui, Temeke, Ubungo, Kibamba, Kinondoni, Kawe, Kigamboni n.k
Cha ajabu wagombea wa huko kwingine wala hawaazishiwi nyuzi isipokuwa Kawe na Gwajima!
Indeed Gwajima is Great [emoji123]
Wanakawe ni bahati na Neema kubwa kumpata mtu kama Gwajima kuwa mbunge wenu!
[emoji3][emoji3][emoji3]