Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,430
- 11,813
Gwajima hadi mbuzi tu wakazi wa kawe hawamtaki, wamekula Bango zake,wamemfuta kabisa
Huo ni mtazamo tu na tafsiri ya mtu binafsi sababu ukiniuliza mimi nitakwambia kuwa wale Mbuzi wanamkubali sana Gwajima na atashinda kwa kishindo.
Mnyama hula kitu akipendacho.
Kwa hiyo kama mbuzi walikuwa wanakula picha ya Gwajima maana yake Gwajima anapendwa sana na watu hadi Wanyama .
Kumbuka hata tafiti za kisayansi zinaonesha hivyo hata kwenye tasnia ya michezo n.k wakitaka kujua uwezekano wa ushindi huweka mambo 2-3 lile litakaloliwa na mnyama ndiyo huwa na ushindi.
Rejea habari ya Pweza Paul kwenye World Cup