Video: Huyu ndiye mgombea ubunge jimbo la Kawe

Gwajima hadi mbuzi tu wakazi wa kawe hawamtaki, wamekula Bango zake,wamemfuta kabisa


Huo ni mtazamo tu na tafsiri ya mtu binafsi sababu ukiniuliza mimi nitakwambia kuwa wale Mbuzi wanamkubali sana Gwajima na atashinda kwa kishindo.

Mnyama hula kitu akipendacho.

Kwa hiyo kama mbuzi walikuwa wanakula picha ya Gwajima maana yake Gwajima anapendwa sana na watu hadi Wanyama .

Kumbuka hata tafiti za kisayansi zinaonesha hivyo hata kwenye tasnia ya michezo n.k wakitaka kujua uwezekano wa ushindi huweka mambo 2-3 lile litakaloliwa na mnyama ndiyo huwa na ushindi.

Rejea habari ya Pweza Paul kwenye World Cup
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umenifanya nicheke sana, mkuu kama unaishi kawe unaweza kweli mpigia kura Gwajboy?

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umenifanya nicheke sana, mkuu kama unaishi kawe unaweza kweli mpigia kura Gwajboy?

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app


Kabisa !

Kura yangu ya ndiyo kwa Gwajima Mbona tayari anayo!

Gwajima [emoji736]

Ndiyo mwenye afadhali kubwa kati ya wagombea wote wanaogombea!

Gwajima ana easy access hata ya kwenda Ikulu kwenda kumuona Mkulu iwapo ataona kuna kero itakayokwama kwa watendaji wa huku chini kwa sababu moja ama nyingine katika kutafuta ufumbuzi.

Sasa hiyo kitu hao wagombea wengine hawana !
 

Mbona kofia haikai kichwani?
 
Tanzania hatuishiwi vituko, hivi mtu timamu unakiri mbele za watu kuwa unamkubali tapeli akuogoze[emoji848]
Niliwahi jiuliza hivi hawa matapeli waumini huwa wanawapata wapi kumbe kweli kuna watu kama wewe Tanzania hii na dizain yenu ndiyo huwa waumini wa hao matapeli

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu unasali kwake nini?

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Kwni waliila au waliichanachana? Gwajiboy ni tapel kama matapeli wengine. Mkuu unakumbuka huyu aliwahi kusema yeye hawezi kuwa Rais. Waziri wala Mbunge kwa sababu Mtumishi wa Mungu ni zaidi ya hivyo vyote, je hilo unalisemeaje kama huyu siyo tapel?

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
ikulu sio kwakutaturia shida ni makazi ya raisi shida nyie wana Lumumba mumeona mikataba yakifisadi wana sign ikulu basi munaona kama misada ni ikulu...nonsense!!!
 
Mbona kofia haikai kichwani?

Maswali hayo ni magumu sana kwake...

Mtu laghai na mnafiki anapokutana na mtu anayeng'amua unafiki na ulaghai wake, hukosa utulivu wa mwili na nafsi....

Ndicho kinachomtokea mchungaji wetu huyu...!!
 
Huyu jamaa ubunge atausikia kwenye bomba, asifikiri Ubunge ni rahisi kama kuanzisha kanisa.
 


Wewe huo utapeli wake unaupimaje?

Je unaweza kuthibitisha utapeli wake pasipo shaka?

Utakuwa umesaidia wengi kumfahamu!

Fanya hivyo hima!
 
Bahati na Neema kubwa kumpata mtu kama ...kuwa mbunge wenu...hapa ni kwa wanakawe au wanawake..?
 
Mmmmmmm! Hata wewe una mawazo ya hivyo?
 
Wewe huo utapeli wake unaupimaje?

Je unaweza kuthibitisha utapeli wake pasipo shaka?

Utakuwa umesaidia wengi kumfahamu!

Fanya hivyo hima!
Sikiliza kauli zake utajua kuwa huyu ni tapeli,
.....Aliwahi kusema pale kanisani kwake atazindua treni kwani pesa cash ameshazipata lakini mpaka leo hakuna lolote
.... Aliwahi kusema yeye hawezi kugombea Urais, Uwaziri wala Ubunge, kwani Mtumishi wa Mungu ni zaidi ya Rais, Waziri, na Mbunge. Leo yako wapi sasa.
Yako mengi sana achilia mbali kauli yake ya hivi karibuni kuwa atampeleka Marekani kila mwanakawe. Mpaka watu wameanza kutilia shaka elimu yake baada ya kusikiliza kauli za huyu Gwajboy.

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…