Video: Huyu ndiye mgombea ubunge jimbo la Kawe



Allency the World is Dynamic is dynamic always and not static!

Ktk modern management inaruhusiwa ku revise your priorities ktk kuweza kutimiza malengo ya taasisi husika.

Vivyo hivyo hata kwa ngazi ya familia au mtu binafsi ni kawaida kabisa kwa mtu kuamua kupitia na kupangilia upya vipaombele vyake baada ya kuzingatia mambo au sababu kadha wa kadha ikiwemo sababu ya ukosefu wa rasilimali fedha, watu, muda, politics situations, change in government policies, mahitaji ya watu, mabadiliko ya technology n.k.

Kwa hiyo hivyo ndivyo mambo yanavyoenda wala hakuna lakushangaza hapo!

Gwajima ametafakali na kuamua ku revise his priorities kuendana na wakati tulionao Ndiyo maana amebadili mawazo ambayo kwa kufanya hivyo hajavunja sheria yoyote!

Mtu kutafakali na kupanga upya vipaombele vyako siyo tatizo.
Ndicho alichofanya jamaa!

Kwa kigezo hicho hawezi kuwa tapeli labda ulete sababu au vipimo vingine!
 
Hawa Wazee ndio tunao wataka huku mitaani, mzee umri umeenda lakini uwezo wake wa ubongo unafanya kazi kama kijana mwenye miaka 25
 
Gwajima CCM wanamuonea bure kazi ya ubunge haiwezi ana kazi zake anazoweza ? Kula kondoo na kuwatifua tope , kuchagua kondoo wa kula Ni fundi hakosea anajua kuchagua balaa.
 
Mkuu uko sahihi tena sahihi sana, lakini linapokuja swala la mchungaji/baba wa kiroho kubadili mwelekeo na kigeukia mambo ya kidunia kidogo inaleta ukakasi. Baba wa kiroho/Mchungaji anaposema uongo sidhani kama ni sawa zaidi ya kuwa tapeli tu. Wajua mpaka leo wale jamaa wa tuma kwa namba hii bado wanapata watu wa kuwatapeli, hii ina maana gani, ni kuwa hata matapeli bado kuna watu wanawaamini(case study ni wewe).

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Hajazoea kukaa bila kiyoyozi. Mtu anaendesha Hammer wajinga wake wanampa sadaka, fungu la kumi na kapu mchugaji bado anataka na mshahara na posho za kikao.
Kwanza cheki anavojifuta jasho
 
HATUWEZI KUONJA SUMU! CHANGAMOTO TULIZO NAZO KAWE HAZIWEZI KUTUGEUZA KUWA WAJINGA WA KUMPA UBUNGE GWAJIMA! SISI WANA KAWE TUNAJUA KWANINI SYSTEM WANAMTAKA HUYO PAMOJA NA UKWELI KWAMBA SISI WANA CCM HATUMTAKI. MSITUPANGIE...
 
Hajazoea kukaa bila kiyoyozi. Mtu anaendesha Hammer wajinga wake wanampa sadaka, fungu la kumi na kapu mchugaji bado anataka na mshahara na posho za kikao.
HIYO HAMMER YENYEWE BADO ANAENDESHA KWELI?
 
Yule she-male amefanya nini miaka 5?
 
Gwajima CCM wanamuonea bure kazi ya ubunge haiwezi ana kazi zake anazoweza ? Kula kondoo na kuwatifua tope , kuchagua kondoo wa kula Ni fundi hakosea anajua kuchagua balaa.View attachment 1576025
Huyu ndiye aliyemgaragaza kifo cha mende? Ila muumini hakutoa ushirikiano wa kutosha shughuli yote alimuachia Baba asiyehofu maana ile miuno siyo ya nchi hii.
 
Wele mbuzi hawakuwa wanakula bango la huyo bingwa wa ngonouzembe bali walikuwa wanayachana chana na kuyatupa ikimaanisha changono tupa kuleeeee
 
Wele mbuzi hawakuwa wanakula bango la huyo bingwa wa ngonouzembe bali walikuwa wanayachana chana na kuyatupa ikimaanisha changono tupa kuleeeee


Sawa lakini bado tafasiri inategemea na mtazamo wa mtu!


Vyovyote inavyowezwa kutafasiriwa lakini ni vema na haki kuleta mabadiliko kwa kumpigia kura ya ndiyo Bwana Gwajima.

Bidada ameshachoka!

Kiukweli kabisa Halima hawezi kuwa na jipya ambalo kwa miaka 10 ameshindwa kulifanya na kuonekana kwa wananchi wa Kawe na Taifa kwa ujumla.

Gwajima anatosha kwa Kawe!
 
Mweleze huyo Chakubanga!!
 
Wanawake wa kawe hasa ambao wanasumbuka na wanaume wao kukosa nguvu za kiume inabidi wamchague jamaa awasaidie kutatua hilo tatizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…