Video: Huyu ndiye mgombea ubunge jimbo la Kawe

Kwanini mtu achukue maneno akayapeleke kwanini nisiende mwenyewe nikaseme
 
Kweli huyu kilaza
Hata mtoto hadanganywi kijinganamna hii😀
 
Watanzania ni wavumilivu au ni wajinga kukubali uzembe huu unaofanywa na mawaziri na viongozi kama hawa??
 
Nina wasiwasi na akili za Gwajima. Kile kichwa chaweza kuwa kimeyumba. "Unayempigia hapatikani kwa sasa".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…