Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,256
- 16,317
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji15][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] miss chagga Siyo umri tu unaenda bali pia vitu anavyotumia kama vile mkorogo, dawa za kutengeneza makalio vyote vina expire date zake ndio maana naye ameanza kuexpire. Kuna siku atakuwa hafai kabisa kwa matumizi ya binadamu. Na hali ngumu ya ukata nayo inamla taratibu hasa kule usoni.
Cocain na kupigwa miti .....pia anaweza kuwa keshapata hitilafu za kiufundi[emoji14] [emoji14] [emoji14]Kwani ameumia lini?
Amezidi..Daaah tumuombee tuu tusimsimange hii si hali ya kawaida
MfyuuuuWema familia bora, mtoto wa balozi huyu amekulia na kukaa nje ya nchi miaka kibao. Kwa hiyo lugha yake ya kwanza sio kiswahili bali Ngeli. So kwa hilo muacheni aneng'eneke na lugha yake ya kuzaliwa.
I hope soI hope she will soon come to her sense...umri unasogea
Shemejwanayaita et madawa ya kulevya
[emoji23][emoji23][emoji23]Tena Mimi ningepokea simu napita hivi
Ile Romantic Voice ya Wema Sepetu imeisha kabisa!!sauti inazidi kupotea kila sikuHuyo dada lazma alikua kanywa viroba n unga mana yuko bwiii mpka mashavu yanatoa jasho
shemej yangu mmShemej
Haters ni asili ya watu wengi ambao hawajafanikiwa. Kwanini tusikubali watoto waliokulia kwenye nchi zenye maendeleo duniani hawako sawa na watoto wengi waliokulia kwenye nchi hoehae!Wema familia bora, mtoto wa balozi huyu amekulia na kukaa nje ya nchi miaka kibao. Kwa hiyo lugha yake ya kwanza sio kiswahili bali Ngeli. So kwa hilo muacheni aneng'eneke na lugha yake ya kuzaliwa.
HahahahahahahahMkuu huyo dada kazi yake ni kuigiza,kwahiyo mara nyingi yupo location[emoji38]
Huu utasimama kama miaka mitatukumbe ameshaongeza mmoja
Hata mimi nimewaza kama weweIdrissa hiyo mbuzi kaichoka i guess
Shemej unajua hiyo Avatar imenichanganya nkajua mzigo mpya umeingia kumbe wewe? afu shemej leo ndio ulienda kule kwa jana nini maana hata msg sijaona kabisashemej yangu mm