Video: Idris Sultan amkacha Wema Sepetu kweupee!

Video: Idris Sultan amkacha Wema Sepetu kweupee!

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] miss chagga Siyo umri tu unaenda bali pia vitu anavyotumia kama vile mkorogo, dawa za kutengeneza makalio vyote vina expire date zake ndio maana naye ameanza kuexpire. Kuna siku atakuwa hafai kabisa kwa matumizi ya binadamu. Na hali ngumu ya ukata nayo inamla taratibu hasa kule usoni.
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji15]
 
Wema familia bora, mtoto wa balozi huyu amekulia na kukaa nje ya nchi miaka kibao. Kwa hiyo lugha yake ya kwanza sio kiswahili bali Ngeli. So kwa hilo muacheni aneng'eneke na lugha yake ya kuzaliwa.
Haters ni asili ya watu wengi ambao hawajafanikiwa. Kwanini tusikubali watoto waliokulia kwenye nchi zenye maendeleo duniani hawako sawa na watoto wengi waliokulia kwenye nchi hoehae!

Imagine Obama angekulia Kenya angeukwaa urais wa marekani? Hell no! Kwa hiyo mtoto wa mbele hawezi kukingana exposure na wamaneromango!
 
shemej yangu mm
Shemej unajua hiyo Avatar imenichanganya nkajua mzigo mpya umeingia kumbe wewe? afu shemej leo ndio ulienda kule kwa jana nini maana hata msg sijaona kabisa
 
Back
Top Bottom