Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,256
- 16,317
hahaha changanya na za kwako naijua hii familia vizruri tuuKinyaturu ni mama yake...mzee Sepetu alikuwa mzanzibar...sasa mi sijui makabila yacwazenji..ni waswahili aubla..but wema si mnyaturu...mama yake ndiye.
hahaha changanya na za kwako naijua hii familia vizruri tuu
Watoto wa mabalozi sio familia bora kama unavotaka tuamini, na kukulia nje ya nchi haimaanishi wewe Ni special kuliko wengine wako wengi wa namna Hiyo choka mbaya sijui kwa nini mnakua na notion ya namna Hiyo?
Hiyo movie anaizungumzia mwaka wa 2 sasa hakuna cha movie wala ushuzi wa movie.Kwahiyo Valentine ya mwakani eeh, kiukweli Idris kamuacha vibaya vibaya hapo binti kama anatamani amwambie nisubiri, unaenda wapi?
Ndo nilitaka nishangae eti kakulia nje...kila siku tulikuwa tunapishana nae sinza mori, hiyo ulaya kaenda kuishi lini?Kadanganye washamba wenzio Wema kakulia Mitaa ya Meeda tunamuona na miaka ya baba yake kuwa balozi na umri anaosema sidhani kama alikuwepo
Baba yake ni mnyamwezi, aliyekulia Zenji.Kinyaturu ni mama yake...mzee Sepetu alikuwa mzanzibar...sasa mi sijui makabila yacwazenji..ni waswahili aubla..but wema si mnyaturu...mama yake ndiye.
27,??Hahaha
Hilo litakuwa janga sasa
Lakin ana zeeka kweli naye japo juz tu alitimiza miaka 27
Eeh si bday yake ilikuwa juz juz apa na akawa ana ingia miaka 2727,??
Kazaliwa 1986 huyo intake ya kina Blue.Eeh si bday yake ilikuwa juz juz apa na akawa ana ingia miaka 27
Bado mdogo huyo [emoji1]
HahahahKazaliwa 1986 huyo intake ya kina Blue.