Video: Idris Sultan amkacha Wema Sepetu kweupee!

Video: Idris Sultan amkacha Wema Sepetu kweupee!

Duuh kweli huyu mala.ya mchafu.. libaya, aaaaarrghw... unga utammaliza, huyu ni kula na kumpiga chini..
 
Si naye aende kule kwa mtalaka wa zari ?
Yaani kuachwa na mondi tu ,ndo madanga yote yamkache ??au kesha namaliza ?
 
Watoto wa mabalozi sio familia bora kama unavotaka tuamini, na kukulia nje ya nchi haimaanishi wewe Ni special kuliko wengine wako wengi wa namna Hiyo choka mbaya sijui kwa nini mnakua na notion ya namna Hiyo?

Na hasa balozi mwenyewe akiwa kama yule dingi wake !

Mbwembwe tu ..hanaga
 
Kwahiyo Valentine ya mwakani eeh, kiukweli Idris kamuacha vibaya vibaya hapo binti kama anatamani amwambie nisubiri, unaenda wapi?
 
Kadanganye washamba wenzio Wema kakulia Mitaa ya Meeda tunamuona na miaka ya baba yake kuwa balozi na umri anaosema sidhani kama alikuwepo
Ndo nilitaka nishangae eti kakulia nje...kila siku tulikuwa tunapishana nae sinza mori, hiyo ulaya kaenda kuishi lini?
 
Kama alitaka ku[emoji33][emoji12][emoji12]lia vile atii yekheekxxc!!
 
Back
Top Bottom