Dini ama imani ni kitu chenye nguvu sana
Historia inatuonyesha walianza kuja watu wa dini,baada ya hapo wakaja wanaharamu
Africa walikua na dini zao kwa namna zao
Ilipokuja swala la dini iliyoletwa kutoka kwa wazungu na waarabu imewapa nafasi nzuri kututawala kwa fikra hata wale wanaoona wana elimu ya juu kuliko wengi wa waAfika wenzao
Tuna rangi 1 lkn tumetengwa kimawazo
Elimu tuliyopewa ni ya kukariri,tuna wasomi waliokariri na mpk leo hawajaona umuhimu wa kuelimisha kuwa hatukuanzia kuwa nyani
Tuna wasomi waliokariri na vyeti kwenye files,wakija huku ni dharau juu ya mwingine
Tumekua si watu wa kusaidiana kwa namna yetu
Fikra za dini tulizobebeshwa zimekua za kutetea mataifa ambayo hayatuhusu hata
Wapo wanaoamini kati ya dini 1 itaelekea jehanamu(muslims au Christian)
Vp buddha na wahindi,Chinese?
Punguzeni kubaguana kwa imani,mna rangi 1 ila mna dini za kuletewa