Inakuwaje wanajamvi!
Mkiambiwa Israel ni taifa teule takatifu la Mungu wa kweli mnabisha. Hii Video inasambaa kwa kasi sana kwenye mitandao ya kijamii ikimuonesha raia wa Iran akichoma moto bendera takatifu ya taifa teule la Israel na badala yake bendera ikamchoma moto mwenyewe.
Mungu mwenyewe kasema ukiibariki Israel utabarikiwa. Ukiilaani utalaaniwa.
Sijaona maajabu yeyote hapo.
Ni jambo la kawaida tu.
Halafu nimepitia uzi mzima nimeona kuna watu wengi viazi humu ndani.
Na dini yenu ya ajabu sana.
Mungu ambaye Yesu ndiye aliyepigwa na watu wake mwenyewe.
Hao wanaoitwa wana wa Mungu ama taifa teule hawamtambui huyo Mungu mwenyewe aliowateua wala hawakitambui kitabu chake tena wanakipinga.
EMBU NINYI WATU MNATAKIWA MFIKIE HATUA MJIELEWE NINYI NI AKINA NANI.
UNASIMAMAJE NA KITU AMBACHO HAKINA MFUNGAMANO NA WW??
Basi huyo Mungu wenu ni dhaifu sana kiasi ameshindwa kushawishi watu wake mwenyewe wamkubali na wasimpinge.
Halafu kuna jinga limetukana waTanzania wenzake eti ni ombaomba hawana faida yeyote duniani!
Yeye ni nani wa kusema kizazi hiki kina faida kile hakina?
Dooooh nyie wafuasi wa Israel aisee ni viannde sana.