jailos mrisho
JF-Expert Member
- Aug 22, 2012
- 647
- 1,360
Yerooo..kwa hiyoo uko tayar kubaguliwa ba israel na bado ukaendelea kuwakumbatia? Kwamba wanakuita nyani..wanakurushia ndiz..ila bado utakuwa unawakumbatia?? Jibu hilo kwanza..masaiTuko tayari kufa kwa ajili ya wayahudi na taifa takatifu teule la Israel. Hilo halipingiki na halikwepeki. Bora kusimama na kubaguliwa na Israel watu wa Mungu wa kweli utapata baraka. Kuliko kusimama na usibaguliwe na nchi na jamii UCHWARA!
Hivi Unajua kama Wahayudi sio wakristo?Tuko tayari kufa kwa ajili ya wayahudi na taifa takatifu teule la Israel. Hilo halipingiki na halikwepeki. Bora kusimama na kubaguliwa na Israel watu wa Mungu wa kweli utapata baraka. Kuliko kusimama na usibaguliwe na nchi na jamii UCHWARA!
Iyo tunajua bana hamna haja ya kuleta hizo borojo hapa kinachojalisha ni mibaraka baas!Hivi unajua kuwa ukikusanya idadi uislam na ukristo nchini Israel haufiki hata asilimia 50? Dini inayotawala Israel ni Uyahudi (wayahudi) vipi nawewe ni myahudi?
Tanzania inaongoza Kwa mijitu hiyo .Juzi ilikuwa inashabikia Kaizer Chief mpaka wamewashangaa.Kuna mijitu mipumbavu sana Afrika hii
Mambo ya waarabu na wayahudi yanawahusuje
Baraka zinatokana na kipi? Wewe ndio unaleta porojo utafikiri ulikuwepo wakati Mungu anatamka hiyo kauliIyo tunajua bana hamna haja ya kuleta hizo borojo hapa kinachojalisha ni mibaraka baas!
JESUS FIRST JESUS FOREVER
God bless and protect Israel
Yesuuu AkbarSasa unamlilia nani, kama Unataka kufa nenda
Yesuuu AkbarBaraka zinatokana na kipi? Wewe ndio unaleta porojo utafikiri ulikuwepo wakati Mungu anatamka hiyo kauli
Yesuuu AkbarNimejaribu kuichoma hapa na imechomeka vizuri tu....Mungu hawapi baraka watu ili waue watu bali shetani ndo anawatawala wale watu ili waue watu waisraeli wakifa hawapai kwenda mbinguni kama Yesu wanazikana kama sisi fu*k [emoji1134]
Yesuuu AkbarTanzania inaongoza Kwa mijitu hiyo .Juzi ilikuwa inashabikia Kaizer Chief mpaka wamewashangaa.
Yesuuu AkbarYerooo..kwa hiyoo uko tayar kubaguliwa ba israel na bado ukaendelea kuwakumbatia? Kwamba wanakuita nyani..wanakurushia ndiz..ila bado utakuwa unawakumbatia?? Jibu hilo kwanza..masai
Wakituma nauli naenda, ikishindikana hata kwa miguuSasa unamlilia nani, kama Unataka kufa nenda
Nimejaribu kuichoma hapa na imechomeka vizuri tu....Mungu hawapi baraka watu ili waue watu bali shetani ndo anawatawala wale watu ili waue watu waisraeli wakifa hawapai kwenda mbinguni kama Yesu wanazikana kama sisi fu*k [emoji1134]
Simama kwa asili yakoNasimama na Israel taifa teule la Mungu
Unajisamia upande wako huku umevaa jeans, suti na chupi??!!Simama kwa asili yako
Bible ipo na imetuaminisha sana
Ila waliotuletea wametutenga na waAfrika wenzetu na hali kadhalika waArab
Lipo tusilofahamu juu ya uAfrica wetu na bado hatujaelimika kujitambua
Tujipe muda wa kutafakari kwann mabara yote yatudharauu na ss tuone dini flani si sahihi
Tujiweke upande wetu kabla ya kuwaona walio mbali
Siyapingi maandiko lkn haina sababu wao watujue sisi kabla ya sisi kujitambua
Mkuu yesu aliuawa na wakina nani?God bless and protect Israel.
Huniambii kitu kuhusu Yesu na Israel.
JESUS and ISRAEL forever!