Video ikimuonesha MuIran akichoma moto bendera ya Israel badala yake ikamchoma moto mwenyewe

Unajisamia upande wako huku umevaa jeans, suti na chupi??!!
Teh..
Mkuu,tunapaswa kutafakari kuhusu uwepo wetu
Ngozi yetu
Hizi dini hazijawahi kutusaidia tusionekane hatuna maana

Point yangu si kusimamia dini inayobaguana mtu na mtu

Wazungu na waarabu wana yao sie tunainguzwa kichwa kichwa
 
Mungu Wa Israel Ndiyo Mungu Wangu Kupitia Jina Lililotukuka La Yesu
 
Mungu myahudi au
 
Hawa viazi huwa wapumbavu sana,eti wana ndoto ya utoko eti siku moja Israel itafutika ktk Ramani ya Dunia,wakati menyewe ndo yanaenda kufutika hivi karibuni,sasa hivi Waislamu wameanza kukiri kuwa kweli Yesu ni Bwana na anaponya magonjwa yote na siyo yule Mtume wao Muhammad mbakaji ambaye ukimsema vibaya wanakuchinja.
Hao ni Satanic Religion
 
Acha tu... Eti muafrika unasimama na Israel wakati wao wanabagua Waisrael wenye asili ya Afrika. Wako mitaani kule hawana pa kuishi kwa kutengwa.
Mkuu acha uongo,umeshafika Israel wewe? Israel ni Taifa dogo lenye uhaba wa ardhi,kwa hiyo haliwezi ku entertain waafrica wahamiaji,ndo maana walilipwa kila mhamiaji $5,000 ili waondoke Israel, lakini pamoja na hayo Israel ilituma ndege Ethiopia kuwafuata wayahudi wenye asili ya Africa ili warudi nyumbani Israel.
Sasa unasemaje ni wabaguzi?
 
Tuko tayari kufa kwa ajili ya wayahudi na taifa takatifu teule la Israel. Hilo halipingiki na halikwepeki. Bora kusimama na kubaguliwa na Israel watu wa Mungu wa kweli utapata baraka. Kuliko kusimama na usibaguliwe na nchi na jamii UCHWARA!
Ni kweli mkuu,ni bora kubaguliwa na Israel kuliko kuteswa na mambwa koko ya CCM
 
jamaa hatakuja kurudia tena kuchoma bendera ya Israel. amekoma.
 
Vitu vingine vya kifala kweli.
Asa hilo si jambo la kawaida?
kuna ajabu gani hapo?
Naona taifa la Mungu linalopigia upatu ushoga na usagaji.
Au Mungu wa kweli alihamasisha ushoga na usagaji?
 
Sijaona maajabu yeyote hapo.
Ni jambo la kawaida tu.
Halafu nimepitia uzi mzima nimeona kuna watu wengi viazi humu ndani.
Na dini yenu ya ajabu sana.
Mungu ambaye Yesu ndiye aliyepigwa na watu wake mwenyewe.
Hao wanaoitwa wana wa Mungu ama taifa teule hawamtambui huyo Mungu mwenyewe aliowateua wala hawakitambui kitabu chake tena wanakipinga.
EMBU NINYI WATU MNATAKIWA MFIKIE HATUA MJIELEWE NINYI NI AKINA NANI.
UNASIMAMAJE NA KITU AMBACHO HAKINA MFUNGAMANO NA WW??
Basi huyo Mungu wenu ni dhaifu sana kiasi ameshindwa kushawishi watu wake mwenyewe wamkubali na wasimpinge.
Halafu kuna jinga limetukana waTanzania wenzake eti ni ombaomba hawana faida yeyote duniani!
Yeye ni nani wa kusema kizazi hiki kina faida kile hakina?
Dooooh nyie wafuasi wa Israel aisee ni viannde sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…