Video: Imevuja! Wanasayansi Wakizungu wanaswa wakifanya michakato ya kuja kufanya majaribio ya chanjo ya Corona Afrika kwa kisingizio cha utafiti!

Video: Imevuja! Wanasayansi Wakizungu wanaswa wakifanya michakato ya kuja kufanya majaribio ya chanjo ya Corona Afrika kwa kisingizio cha utafiti!

Kinacho tugharim ss ni viongozi wenye tamaa ya madaraka. Nawao ndipo wanapata mwanya wakuendelea kutugawa wakati wao kila siku wanataka kuungana ili waendelee kuwa na nguvu. Wakiona Kuna kiongozi Africa ana mawazo ya kushawishi tuungane wanamfanyia zengwe hadi wamuue exp.
Nkrumah
Sankara
Gaddafi NK.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani mkuu makafiri si walisema Gaddafi gaidi au???
 
Ndio nasema mtu anayewafanyia hivyo wapinzani wake akiambiwa hiyo chanjo wapewe wapinzani wake atakataa??? Tena atawaambia ongezeni dozi kabisa!!
Kwani tumesema hiyo Chanjo wanataka kupewa wapinzani? Au unatunga hoja zako mwenyewe?
 
Back
Top Bottom