Beeb
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 29,394
- 59,069
Waanze na italy kwenye idadi kubwa ya vifo..waAfrica watuache Kama tulivyo hatuna shida na chanjo zao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
du kumuwaza zitto kiasi hiki mwanaume mwenzio moja kwa moja tumejua wewe ni mchele mcheleHa ha ha, umepatia.
hiyo ngoma ililetwa na kina nani,tafakariAcheni uzuzu ,,,bila wazungu wagonjwa wa Ngoma wangeishije / pia hata ....shuklan waafrica hatuna.
Sent using Hapa Chadema tu
Hana hoja, nijibu hewa?Hoja kwa hoja chief
Jazba ni nusu ya wendawazimu
Kwani nani kabisha? Hiyo ndio hoja hapa?Jikite kwenye ukweli wa hoja.Achana na hayo mengine.Ukweli ni kuwa, Afrika hatuna mchango wowote wa kisayansi kwa dunia.Hopeless Africa.
Sent from my TA-1024 using Tapatalk
Kwani nani amebisha hilo? Hii ndio hoja hapa?Uwe kibaraka au usiwe, ukweli ni kuwa huna cha kujivunia mbele ya mabeberu.Muulize kiranja wako atakuambia ukweli uliojificha.Hata Ndugai analijua hilo suala.
Sent from my TA-1024 using Tapatalk
Nani kabisha kwamba hatuwezi? Hii ndio hoja hapa?Ukweli ni kwamba hatuwezi.
Sent from my TA-1024 using Tapatalk
Kwani nani kabisha? Hiyo ndio hoja hapa?Lakini unyama wa kuuana sisi kwa sisi ndio tunauweza sio na unyama wa kuwaibia waafrika wenzetu maliasili zao na kujinufaisha wenyewe huku waafrika wenzetu wakifa kwa njaa
Napendekeza tujijengee uwezo wa kutengeneza chanjo zetu wenyewe, we need to start somewhere, no matter how low, but its a start, capacity building is vitalBinafsi napendekeza Viongozi wa Africa wakubali tu Chanjo zitakazo letwa na Wachina sio wazungu
Mbona tunaenda kuomba hela hukohuko kwa mabeberu?Hapo ndio huwa namkubali Rais Magufuli kwa kutowakumbatia hawa mabeberu.
Zitto angeweza kuwakaribisha Ujiji!
Haha, kwani nani kakubishia? Hii ndio hoja hapa?Tayari waafrika ni masokwe.
Sent from my TA-1024 using Tapatalk
Hahah, kwani nani amebisha hilo humu? Hii ndio hoja hapa?Wazungu ndio wanatufunga kwenye viroba na kututupa baharini?
Wazungu ndio wanatupiga risasi hadharani?
Wazungu ndio wanatusakizia kesi zisizo na dhamana ili tuozee jela?
Wazungu ndio wanavunja mikono MP mwanamke??
Tunayofanyiana wenyewe kwa wenyewe ni zaidi ya wazungu wanayotufanyia
Kweli hakuwa na hoja au hoja zake hukuzipenda tu?Hana hoja, nijibu hewa?
Ndio nasema mtu anayewafanyia hivyo wapinzani wake akiambiwa hiyo chanjo wapewe wapinzani wake atakataa??? Tena atawaambia ongezeni dozi kabisa!!Hahah, kwani nani amebisha hilo humu? Hii ndio hoja hapa?
Na ndio maana tunaisihi serikali yetu kuchukua tahadhari dhidi ya hila na njama hizi za kishetaniKwa maisha ya kiafrica wachache watakwepa hii, chezea hela wewe? Watatafutiwa mwanya wa kuingia tu, popote watapopata gap, bas kaz yao itakuwa imekamilika.
Viongozi wa former french colonies ni ‘Puppets’ wa France, ndio hivyo tenaCongo DRC wameshakubali tayari waende kutestistiwa na hizo chanjo
Sent using Jamii Forums mobile app
Swali muhimu sana...Unajua nani kaleta hiyo ngoma? Na unajua nani anafaidika na uwepo wake?
[emoji35][emoji35]Wamenaswa wapi wakati walikuwa wanajadili wazi kabisa kwenye public TV. Isitoshe, huko Senegal wamesema wapo tayari kufanya majaribio ya hiyo chanjo.
Nani kabisha kama huwa tunaomba hela? Hii ndio hoja hapa?Mbona tunaenda kuomba hela hukohuko kwa mabeberu?