Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,041
- 13,907
😂😂😂Hahahaha, lipeleke tu barua ya maombi likafanywe panya la majaribio, hahahahahah!!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂Hahahaha, lipeleke tu barua ya maombi likafanywe panya la majaribio, hahahahahah!!!!
Narudia tena hakuna atakaekupa zaidi ya 450,000,000 kwa kujitolea.Congo washakubali kufanyiwa majaribio,inaonyesha kuna mpunga mrefu wanatoa kwa nchi au MTU atakayekubali.Na njaa hii wakija Bongo mm nitakuwa wa kwanza kujitolea US$200M nasikia wanakupa ukijitolea kuna nn tena hapo!
Kuna vilaza hawaelewi wanajiandikia tu
Majaribio yanafanyika kwa mda wa miezi 14 na unatakiwa ku attend Clinic angalau mara 11 na kila ukienda Clinic unalipwa .Narudia tena hakuna atakaekupa zaidi ya 450,000,000 kwa kujitolea.
Aisee kwahiyo hawajakufanya siri ?Wamenaswa wapi wakati walikuwa wanajadili wazi kabisa kwenye public TV. Isitoshe, huko Senegal wamesema wapo tayari kufanya majaribio ya hiyo chanjo.
Kwanza tukiacha kumponda Rais wetu mengine yataanza kunogaKama swala la kuungana Africa lingetimia bas leo tungekua mbali sana
Sent using Jamii Forums mobile app
NilijuatuAcheni uzuzu ,,,bila wazungu wagonjwa wa Ngoma wangeishije / pia hata ....shuklan waafrica hatuna.
Sent using Hapa Chadema tu
Ninyi ni chimpanzees tu! Watawafanya vile wanavyotaka kwa mbinu zote wanazozijua na hamtafanya lolote!
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakiingia Google huwa wanazipata, halafu siku hizi wanawaonyesha kina Maria na kina Kigogo.
Tena kyela,
Akina bashiru wao huangalia Madiwani wa kuwahongaKama wanasayansi wenu
Sio asili ya waafrica kufanya unyama wa hivyo! Na wala siwezi uita ujanja, ni ushetani!Kama na sisi Africa ni wajanja tutengeneze kirusi tuwaweke wazungu ili waje kuomba misaada ya madawa huku africa na tuwawekee masharti mengine mengine magumu
Walichonoa kwa Magufuli ni kipi,ikiwa ndege zinapokelewa pale Airport na timu yake nzima kutoka kwa mabeberu?. Sisi waafrika zetu zinatengenezwa wapi?.Hela ya IMF tu,tulitaka kumtoa roho Zito Kabwe kisa ametuchongea.Pumbaaaavu.Afrika ni sikio la kufa daima.Hahah, yaani kwa Magufuli wamenoa aiseee, hapa ndio huwa nashukuru kwa kuwa na Rais mwenye msimamo mkali...!
Congo ni wanaume wa shoka na haya majanga wanayaelewa vizuri kuanzia Marburg hadi Ebola kwa sasa hawawezi kujivunga
Jikite kwenye ukweli wa hoja.Achana na hayo mengine.Ukweli ni kuwa, Afrika hatuna mchango wowote wa kisayansi kwa dunia.Hopeless Africa.Hivi nyie watu mmetokea wapi? Mbona mnaandika kama mmekatwa vichwa jamani, hiiii...!!!!
Tayari waafrika ni masokwe.Sasa wewe jamaa si uombe uwe lisokwe la majaribio? Kwani nani amekukataza?
Kwakweli ni ndugu zetu wa karibu hao primatesTayari waafrika ni masokwe.
Sent from my TA-1024 using Tapatalk