Video: Imevuja! Wanasayansi Wakizungu wanaswa wakifanya michakato ya kuja kufanya majaribio ya chanjo ya Corona Afrika kwa kisingizio cha utafiti!

Kweli hakuwa na hoja au hoja zake hukuzipenda tu?

Kama ipo hivyo ulivyosema boss wangu bora ungempotezea tu kuliko vile ulivyomuambia
Sasa hii ndio hoja unataka nijibu?
 
Kwani mkuu makafiri si walisema Gaddafi gaidi au???
 
Ndio nasema mtu anayewafanyia hivyo wapinzani wake akiambiwa hiyo chanjo wapewe wapinzani wake atakataa??? Tena atawaambia ongezeni dozi kabisa!!
Kwani tumesema hiyo Chanjo wanataka kupewa wapinzani? Au unatunga hoja zako mwenyewe?
 
Sawa endelea kuikatikia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…