FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
- Thread starter
-
- #21
Ndio maana Lissu alistahili alichokipata, na Zitto atapata anachokitafutaHaya ninyi ambao kila kukicha mnatetemekea wazungu na mitazamo yenu ya kitumwa mkiongozwa Tundi Lisu, Zito na Mbowe, mmesikia mabwana zenu wanavyowawazia eeh!
Wazungu hawajawahi kutuchukulia sisi weusi kama binadamu wenzao...na kwa bahati mbaya weusi wenzentu wenye mitazamo ya kitumwa ndio wamekuwa wakitusaliti na kutuletea matatizo yote!
Unajua nani kaleta hiyo ngoma? Na unajua nani anafaidika na uwepo wake?Acheni uzuzu ,,,bila wazungu wagonjwa wa Ngoma wangeishije / pia hata ....shuklan waafrica hatuna.
Sent using Hapa Chadema tu
Ww upo kwenye cheo cha "upumbafu"! Huwezi elewa! Kwani ukimwi ulitoka wapi? Mtu anakutengenezea kirusi, anakiingiza mwilini mwako, baadae anakuletea viijimisaada vya uongo na kweli, afu ww kwa uzuzu wako na umbulula wako unampigia makofi na kumtukuza kwa kumshukuru!? Upumbafu ni janga baya kuliko majanga yote yanayoweza mpata mwanadamu! Pole yako!Acheni uzuzu ,,,bila wazungu wagonjwa wa Ngoma wangeishije / pia hata ....shuklan waafrica hatuna.
Sent using Hapa Chadema tu
Kwahio wewe zuzu unawashukuru kwa kuleta tatizo na kuleta robo ya solution ya hilo tatizo?!Acheni uzuzu ,,,bila wazungu wagonjwa wa Ngoma wangeishije / pia hata ....shuklan waafrica hatuna.
Sent using Hapa Chadema tu
Washafanya majaribio mengi sana mojawapo ni malaria.Sio hao
Congo washakubali kufanyiwa majaribio,inaonyesha kuna mpunga mrefu wanatoa kwa nchi au MTU atakayekubali.Na njaa hii wakija Bongo mm nitakuwa wa kwanza kujitolea US$200M nasikia wanakupa ukijitolea kuna nn tena hapo!Baada ya kuona Corona inawachakaza wazungu vibaya mno, wanasayansi wao wameamua kufanya mipango ya kuja kuwatumia wa-Afrika weusi kama ‘guinee pigs’ (panya wa majaribio) kwa kisingizio cha kuja kutoa chanjo, kumbe lengo ni kufanyia utafiti hizo chanjo kuona ipi ina madhara na ipi inafanya kazi, ili sasa wakishaijua ipi ni effective ndio warnde wakawape binadamu huko ulaya, yaani sisi ni panya na wao ndio binadamu.
SERIKALI ISIKUBALI UTAFITI WA AINA YEYOTE TOKA KWA WAZUNGU KUJA KUFANYIKA TANZANIA, NA
TUSIKUBALI CHANJO YA AINA YEYOTE TOKA KWA WAZUNGU!
We kweli ni kenge, usichokijua ni kwamba bila wazungu hyo ngoma isingekuwepo!Acheni uzuzu ,,,bila wazungu wagonjwa wa Ngoma wangeishije / pia hata ....shuklan waafrica hatuna.
Sent using Hapa Chadema tu
Hivi Senegal unajua rais wao kawekwa pale na nani?Wamenaswa wapi wakati walikuwa wanajadili wazi kabisa kwenye public TV. Isitoshe, huko Senegal wamesema wapo tayari kufanya majaribio ya hiyo chanjo.
Rushwa mbaya sana!Congo washakubali kufanyiwa majaribio,inaonyesha kuna mpunga mrefu wanatoa kwa nchi au MTU atakayekubali.
Hiyo chanjo wanakupa bure? Wajifanyie testing wenyewe, wao si ndio wanakufa kwa huo ugonjwa, wakajijaribie wenyeweSasa mnataka wenzenu watumie rasilimali zao kuandaa chanjo nyue africa mmekaa tu kama hamjui kinachoendelea alafu kesho mje kuanza kuombaomba io chanjo mkishaanza kufa kama kuku. Kama wanasayansi wenu waneshindwa kufanya chochote kuna shida gani kwenye hili janga mchango wenu ukwa ni kufanya samples??
Beggers can never be choosers
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama swala la kuungana Africa lingetimia bas leo tungekua mbali sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee Mataga mna vituko mnooHapo ndio huwa namkubali Rais Magufuli kwa kutowakumbatia hawa mabeberu.
Zitto angeweza kuwakaribisha Ujiji!
Bora Wakoloni weupe kuliko hawa Wakoloni uchwara weusi ndiyo slogan yetuimhotep mbona una dislike kwa siyo Erythrocyte ambaye huwa anawaombea Wazungu wabarikiwe na Mungu wake??