Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 32,246
- 31,176
Wakenya wamechelewa wapi kuchangamkia hii fursa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo nayo pia ni biashara, siku tukishtukia chanjo, biashara kwishinei.Acheni uzuzu ,,,bila wazungu wagonjwa wa Ngoma wangeishije / pia hata ....shuklan waafrica hatuna.
Sent using Hapa Chadema tu
Ata kamanda wa anga si wakuamini ana ujinga mwingi kichwani uwezi tegemeaHapo ndio huwa namkubali Rais Magufuli kwa kutowakumbatia hawa mabeberu.
Zitto angeweza kuwakaribisha Ujiji!
Tujaribiwe labda tutapata akiliSasa hapo kuna muda wakutafuta chanjo kweli? Akitoka hapo anaenda kugegeda tu hamna kingine
Sent using Jamii Forums mobile app
Unazani kuna kingine mkuu hapo utakuta ana wake zaidi ya 2 watoto hata kula kwenyewe ni shida, majaribio yatafanyika[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ukiwa na njaa chochote utakubali tu hata kubeba mzigo wa vinyesi umo tu!Tujaribiwe labda tutapata akili
Wana science wetu sijui wanasomeaga nini jamani wangetwambia hata sie mangumbaluTuwe kama watu tuliopevuka kidogo kiakili.
Hivi hawa mabeberu wakiamua kuja kutest chanjo zao hapa kuna atakayejua au kugundua chochote?? Hizi kazi zao hufanywa na secret services zao kwa kificho sana na kupitia mbinu tofauti sana na hizi..
Hii ndui na chanjo nyingine za utotoni kwani zimetoka wapi?? na nani anayejua chanzo chake na malengo yake ya siri, ARV zinatoka huko nani anayejua mchanganyiko wake? Chanjo ya inni nani anayejua mchanganyiko wake na kusudi lake?? Huwezi ukawa salama duniani hapa kama huna maarifa ya kutosha ya kutengeneza vitu mbalimbali kama silaha, madawa, technolojia, nk...tuwe watulivu tuache makelele..
Nibora majaribio kuliko ukutane na wasiojulikana weusi wenzetuUnazani kuna kingine mkuu hapo utakuta ana wake zaidi ya 2 watoto hata kula kwenyewe ni shida, majaribio yatafanyika
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo ufahamu wako huo na unasema hayo huku ukijua uhalisia iLA ni kiburi tu, unamkumbuka Mjerumani alivyotufanyia hapa Tanganyika? Aseee sijui nikwambie nn ngoja niishie hapa naweza mkosea Muumba kizembe Kwa sababu yako.Bora Wakoloni weupe kuliko hawa Wakoloni uchwara weusi ndiyo slogan yetu
Hivi mnazipata wapi hizi habari za kipuuzi. Unajua usd 200m ni sawa na bei gani au unaongea tuCongo washakubali kufanyiwa majaribio,inaonyesha kuna mpunga mrefu wanatoa kwa nchi au MTU atakayekubali.Na njaa hii wakija Bongo mm nitakuwa wa kwanza kujitolea US$200M nasikia wanakupa ukijitolea kuna nn tena hapo!
Mbona wasiojulikana wanafanya mabaya zaidiMjerumani alivyotufanyia hapa
Kuwa mkweli wewe unakumbuka vizuri wale wakina Carl Peter,alijiita/aliitwa mkono wa Damu? Vitu vingine ni kuwa na uhalisia sio kuweka uchama hapa kwenye hii mada. Afu mtu msomi huwa analogic kwanza ndo anaongea ni ngumu kumkuta msomi anaongozwa na hisia au kuongea bila kufikiria sana.Mbona wasiojulikana wanafanya mabaya zaidi
Kuwa mkweli wewe unakumbuka vizuri wale wakina Carl Peter,alijiita/aliitwa mkono wa Damu? Vitu vingine ni kuwa na uhalisia sio kuweka uchama hapa kwenye hii mada. Afu mtu msomi huwa analogic kwanza ndo anaongea ni ngumu kumkuta msomi anaongozwa na hisia au kuongea bila kufikiria sana.
Baada ya kuona Corona inawachakaza wazungu vibaya mno, wanasayansi wao wameamua kufanya mipango ya kuja kuwatumia wa-Afrika weusi kama ‘guinee pigs’ (panya wa majaribio) kwa kisingizio cha kuja kutoa chanjo, kumbe lengo ni kufanyia utafiti hizo chanjo kuona ipi ina madhara na ipi inafanya kazi, ili sasa wakishaijua ipi ni effective ndio warnde wakawape binadamu huko ulaya, yaani sisi ni panya na wao ndio binadamu.
SERIKALI ISIKUBALI UTAFITI WA AINA YEYOTE TOKA KWA WAZUNGU KUJA KUFANYIKA TANZANIA, NA
TUSIKUBALI CHANJO YA AINA YEYOTE TOKA KWA WAZUNGU!
Hivi Senegal unajua rais wao kawekwa pale na nani?
Unajua sababu? Sasa kuleta picha ya mtu mmoja hapa haina mashiko na nilijua tangu kitambo upo kichama zaid, sipo kichama hapa huyu jamaa alivuka mstari mwekundu, na cha kuongezea hayo ni madogo walofanya wakoloni hicho ni kidogo, sijui kama umesoma historiaView attachment 1409342
Angalia kazi ya Wakoloni weusi