Video: Imevuja! Wanasayansi Wakizungu wanaswa wakifanya michakato ya kuja kufanya majaribio ya chanjo ya Corona Afrika kwa kisingizio cha utafiti!

Acheni uzuzu ,,,bila wazungu wagonjwa wa Ngoma wangeishije / pia hata ....shuklan waafrica hatuna.

Sent using Hapa Chadema tu
Hiyo nayo pia ni biashara, siku tukishtukia chanjo, biashara kwishinei.
 
Tuwe kama watu tuliopevuka kidogo kiakili.

Hivi hawa mabeberu wakiamua kuja kutest chanjo zao hapa kuna atakayejua au kugundua chochote?? Hizi kazi zao hufanywa na secret services zao kwa kificho sana na kupitia mbinu tofauti sana na hizi..

Hii ndui na chanjo nyingine za utotoni kwani zimetoka wapi?? na nani anayejua chanzo chake na malengo yake ya siri, ARV zinatoka huko nani anayejua mchanganyiko wake? Chanjo ya inni nani anayejua mchanganyiko wake na kusudi lake?? Huwezi ukawa salama duniani hapa kama huna maarifa ya kutosha ya kutengeneza vitu mbalimbali kama silaha, madawa, technolojia, nk...tuwe watulivu tuache makelele..
 
Wana science wetu sijui wanasomeaga nini jamani wangetwambia hata sie mangumbalu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bora Wakoloni weupe kuliko hawa Wakoloni uchwara weusi ndiyo slogan yetu
Ndo ufahamu wako huo na unasema hayo huku ukijua uhalisia iLA ni kiburi tu, unamkumbuka Mjerumani alivyotufanyia hapa Tanganyika? Aseee sijui nikwambie nn ngoja niishie hapa naweza mkosea Muumba kizembe Kwa sababu yako.
 
Congo washakubali kufanyiwa majaribio,inaonyesha kuna mpunga mrefu wanatoa kwa nchi au MTU atakayekubali.Na njaa hii wakija Bongo mm nitakuwa wa kwanza kujitolea US$200M nasikia wanakupa ukijitolea kuna nn tena hapo!
Hivi mnazipata wapi hizi habari za kipuuzi. Unajua usd 200m ni sawa na bei gani au unaongea tu
 
Mbona wasiojulikana wanafanya mabaya zaidi
Kuwa mkweli wewe unakumbuka vizuri wale wakina Carl Peter,alijiita/aliitwa mkono wa Damu? Vitu vingine ni kuwa na uhalisia sio kuweka uchama hapa kwenye hii mada. Afu mtu msomi huwa analogic kwanza ndo anaongea ni ngumu kumkuta msomi anaongozwa na hisia au kuongea bila kufikiria sana.
 

Angalia kazi ya Wakoloni weusi
 
Waafrika tunatia aibu kwa kulia lia na kuwa wavivu wa kufikiria duniani kote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…