Video: Imevuja! Wanasayansi Wakizungu wanaswa wakifanya michakato ya kuja kufanya majaribio ya chanjo ya Corona Afrika kwa kisingizio cha utafiti!

Video: Imevuja! Wanasayansi Wakizungu wanaswa wakifanya michakato ya kuja kufanya majaribio ya chanjo ya Corona Afrika kwa kisingizio cha utafiti!

CCM imeharibiwa na taburalasa kama nyie kupewa madaraka idiot kabisa ukishanunua smartphone unajiona Tanzania ni Mali yako kama mavi yako sio?

Sent using Jamii Forums mobile app
Nani kabisha kwamba taburalasa kama mimi ndio tumeharibu CCM? Kuna mtu aliebisha? Ila je, hii ndio hoja ya uzi huu?
 
Ninachoamini Mimi....

Africa tuna mawazo ya kitumwa,na utumwa ushaungia katika damu kwakua babu zetu walikuw watumwa

Africans karibia wote in tegemezi isipokua muammar Gaddafi,

Halafu Africans katibia wote hata hao wanaojiita wasomi washaweka notion kwamba mattz yao kuna mtu alipaswa kuyatatua sio wao...mfano utakuta MTU analaumu system za uongoz Wa nchi kwa uongoz mbovu,system za elimu mbovu,afya nk....swali je we km we umechukua hatua gani katika kubadilisha hali hizo?????


Kingine Africa tukatae tukubali IQ zetu ni ndogo mno hata za panya in kibwa kuliko sisi,kuna watu nawaona wanakosoa,wengine wanawasifia wazungu,...ila solution IPO hapa(sisi waafrica tufe wote kiletwe kizazi kingine sisi km sisi hatujiwezi, tuna maradhi mengi ya kiakili)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom